Rais Samia Suluhu aongeza bajeti kwa asilimia 230 Ujenzi wa JN-HPP


Kwa hiyo mkuu una maana we are better off without him?
 
Tuombe Uzima nitakukera sana,


#KAZI IENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
Ni kweli naona na kibaraka February Marope ameshaanza kujipendekeza kwa wanaume wa USA na Uholanzi ili waje kufanya upumbavu uliomtoa Lowassa kwenye kiti mnamo mwaka 2007!

Wacha tuendelee kutafuna popcorn taratibu! Dowans & Richmond Season 2 iko njiani!
 
Hongera late John Pombe Magufuli kwa kusimama kiume katika kuanzisha hili! Heri tutesekee maendeleo kuliko kutesekea ufisadi wa familia chache za watu walioko kwenye system wakati wao wakiinjoy maisha!
😍👍💪
 
Safi sana mkuu wangu
 
Hii ndio maana ya "The Great Thinkers "
Endelea kutupa utamu huu,

Makala zako najisomeaga mkuu unanondo balaa,

Samia yuko mbele sana huwezi mlinganisha na yeyote

Kazi iendelee
Asante Sana mkuu wangu
 
Hakuna kama Samia
 
Mkuu, tutegemee vipi Bei ya umeme kushuka ili Hali hata mradi utakuwa bado haujaanza kutulipa ( payback period)?. Ningependa ueleze theory behind itakayopelekea bei ya umeme kushuka baada ya mradi kuanza kufanya kazi.

Shukrani.
 
Jiongopeeni tu😂😂😂
 
Umeharibu kumuweka Kikwete hapa, huyu si rais wa maana na hatakiwi kukumbukwa kwa chochote kile hapa nchini
 
Hivi kwanini tusiwaze kukamilisha bwawa letu la Nyerere ili tuuze umeme nchi za nje??????

Haya maswali jiulizeni wakuu. Yaani hivi ni kwanini tusiwaze kukamilisha bwawa letu la Nyerere ili tuuze umeme nchi za nje?????
 
Umeharibu kumuweka Kikwete hapa, huyu si rais wa maana na hatakiwi kukumbukwa kwa chochote kile hapa nchini
Duh kwa nini Kikwete asiwekwe? Ni kweli hatakiwi kukumbukwa kwa lolote?

Unataka kumkumbuka DIKTETA wa Chato tu kwa kuua akina Ben Saanane?
 
Hivi kwanini tusiwaze kukamilisha bwawa letu la Nyerere ili tuuze umeme nchi za nje??????

Haya maswali jiulizeni wakuu. Yaani hivi ni kwanini tusiwaze kukamilisha bwawa letu la Nyerere ili tuuze umeme nchi za nje?????
Wahenga walisema, "kuishi karibu na bahari au mto, siyo kujua kupiga mbizi"

Ona sasa zaidi ya miaka 60 ya uhuru tunajifariji tu kuwa TZ ina rasilimali tele, kumbe ni changa la macho tu kwa wanyonge lakini wanaokula keki ya nchi ni 0.001%.....[emoji849][emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…