Rais Samia Suluhu ashangaza wengi kasi ya Ukuaji Uchumi Tanzania

Kazi nzuri sana Mama Samia
 
Nyie mjiamini mtashangazwa!!!Hali nzuri labda kwa matajiri lakini watu wengi wapo hoi.
 
Tatizo la sisi watanzania tunapenda kuwajadili na kuhoji watu wale wenye mionekano ya kikichaa kama uchafu,kuokota makopo na mengine. Lakini kuna watu ni vichaa kabisa ila sababu wanavaa vizuri na wana nyazifa mbali mbali huwa hatujali. Kuna vitu hata kuvizungumzia ni ukichaa. Nchi ina kichaa kuanzia kichwani hadi miguuni.
 
awesomefully,

Niliwaambia huyu Mama atafanya maajabu makubwa sana Tanzania baadhi yenu hamkunielewa, Nadhani kwa sasa mmeanza kuelewa taratibu, Hongera Sana Mama Samia,
 
Nakupenda sana Tanzania
 
Fanya kazi acha kujifanya msemaji wa Watanzania Meckyrich

Mkuu me niko vizuri kiuchumi nilipambana nikapata sina stress. Ila tunazungumzia maisha ya watanzania kwa ujumla na hatima ya vizazi vyetu mbele. Usicomment kishabiki au kitim angalia maisha ya watu wa chini yapoje kwa sasa???
 
Tangu baada ya Uhuru Nchi yetu bado ni masikini ndio maana nasema tufanye kazi mkuu wangu
 
Viva Tanzania
 
Hizi ngonjera za kusifu zilikuwepo sana hata kipindi cha JPM, lakini hali halisi ni tofauti huku mtaani
Hao NBS mbona hawaongelei kupanda bei ya bidhaa mfano mbolea?
 
Mkuu unauhakika NBS hawaongelei bei ya Mbolea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…