Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Ni ajira mpya mzee wangu. Inawezekana kiswahili tu kinazingua.Siyo ajira mpya..
WCBunasema kwako ni ajira mpya ulikuwa ukifanya kazi wapi kabla ya hii ajira unayoita mpya
Dunia kote watu ambao hupewa kipaumbele kwenye ajira ni wale wanaojitolea.Huo mfumo haupo katika suala la kuajiri, wewe kama ulijitolea ni kwa mapenzi yako.
Hatufanyi mambo kwa hisia zako zinavyoendaDunia kote watu ambao hupewa kipaumbele kwenye ajira ni wale wanaojitolea.
Naona kila mtu anajipigia chapuo. Na sie majobless mnataka tutelekezwe milele???????????????Nami naomba wachukuliwe wale waliojitolea bana. Mtu unauzoefu wa kutosha na ni uzalendo wa kutosha?
Haya walimu mambo ni fire...Ni nafasi za zilizoachwa na Walimu waliostaafu,walioacha kazi Serikalini na waliofariki.
Rais Samia Suluhu amesema haya....
Natambua kuna Walimu wengi tu karibu Elfu 6 au zaidi ambao wamestaafu, wamefariki n.k na kunahitajika wa kuziba nafasi hawa sio ajira mpya ni wa kuziba nafasi, Utumishi mko hapa na TAMISEMI mkalisimamie, Walimu Elfu 6 warudishwe haraka ili wakawatumikie Watanzania
Iron lady the ERASORNi nafasi za zilizoachwa na Walimu waliostaafu,walioacha kazi Serikalini na waliofariki.
Rais Samia Suluhu amesema haya....
Natambua kuna Walimu wengi tu karibu Elfu 6 au zaidi ambao wamestaafu, wamefariki n.k na kunahitajika wa kuziba nafasi hawa sio ajira mpya ni wa kuziba nafasi, Utumishi mko hapa na TAMISEMI mkalisimamie, Walimu Elfu 6 warudishwe haraka ili wakawatumikie Watanzania
Kiswahili kwa marais wetu ni shida. Alikuwa Nyerere peke yake ndo aliongea kiswahili fasaha. Wengine wanachanganya na lugha zao za asili.Sijui ni ujinga au makusudi, yeye mwenyewe kasema sio ajira mpya
Kauli za mwendazake hizoNami naomba wachukuliwe wale waliojitolea bana. Mtu unauzoefu wa kutosha na ni uzalendo wa kutosha?
rudia kusoma ulichoandika na alichokisema Rais...We kweli shibobo "Kasema wale walioachishwa na waliostafishwa warudishwe kwenye ajira zao.
Unataka nipange nini?Umesikia neno ajira kwa mama ,unakuja kupanga vigezo