blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
Tumia akili ya kuzaliwa.Nakumbuka alimgonga punda watu wakampa pole punda yeye wakamshushia spana kibao
mkuu tuna makabila mangapi nchi hii, ukisema tubalance makabila kwenye baraza la mawaziri unadhani hilo baraza hilo litakuwa kubwa kiasi gani? Au unadhani wachaga sio watanzania wa kawaida wanastahili kuchukuliwa kwa upekee kuliko makabila mengine? halafu unaweza kukuta wewe pia ni kiongozi au unandoto ya kuwania uongozi ! ACHA UKABILAAcha ukabila
Sasa hivi Bashiru ndiyo washammaliza kabisa maana wanajua uchaguzi ujao kila mtu anapambana kivyake siyo kama 2015 walipo shikwa mikono.Walitegemea kumtumia bashiru kucontral mama
Yule ndio mzee wetu mwenye hekima aliyebaki... Lazima ampangeMama mjanja sana nafikiri hata yule mzee wa msoga atakuwa anampatia baadhi ya material
Tangu lini binadamu alilidhika?Mlitaka muone Mama anafanya jambo kwenye baraza la mawaziri, amesikia bado mnalalamika
Team zinasababisha watu wasifikiri nn kinaendelea TZ. Kila maamuzi wanayahusisha na ushindi wa team. Tunakosa great analysis from GT sababu ya ugonjwa wa teams.Kama unaitambua ilani ni ya CCM hapo ni vema.
Lakini wewe ndo ulianza kuni quote pale nilipowauliza"wa team fulani,mpoo?"
Ukanambia mimi niachane na uteam wakati mimi sina team,nilichofanya ni kuwauliza kama bado wapo au washavunja team zao?
HAPO UTEUZI WA MWIGULU KWENYE KIBUBU CHETU MAMA UMETUHARIBIA SIKU!! KUNA WATU KAMA PROF. MKENDA WANGEWEZA KUFAA KWENYE ILE NAFASI LAKINI NDIO HIVYO NG'OMBE WA MASKINI HAZAI!!!Sina yakuandika mengi ila kwakweli si kwakumpa miskafu ya bendera machenchi yetu dahhhh...
Naona mchana hakuna maana kulipo pambazuka tulifurahi mara ghafla kiza usiku umeingia....
Haya Mama kila la heri kama ni maamuzi yako mwenyewe🚶🚶🚶🚶
Mama anajua kutufurahisha huyu ☺️☺️☺️Sasa hivi Bashiru ndiyo washammaliza kabisa maana wanajua uchaguzi ujao kila mtu anapambana kivyake siyo kama 2015 walipo shikwa mikono.
Hapo nimekukubali sana kwa kuona mbali sana juu ya singida United kurudi premier leagueWana simba mbona mnaumia sana uteuzi huu wa fei Toto shida nn kama najua mwakan singida united inarud ligi kuu
Jamaa ni mjanja sana yaani na sasa ndiyo wakati wake maana kabakia yeye ambaye bado ni active kuliko mzee wetu wa kuuliza jina la mwanaweYule ndio mzee wetu mwenye hekima aliyebaki... Lazima ampange
Chama kubwa gani wakati mbeba maono wao waliyemuandaa kabigwa za chembe, apumzike na viti maalum pending special auditUmepotea wale ni chama kubwa
Ghafla aliwiva kama Mcongo! Duh vyeo kama dhamana aise..Alikuwa anacheza na maduhuri ya safari
Vipi tumpe Lissu wizara gani?Amweke nani wakati CCM ni walewale tu vilaza tupu.
Bashiru Ametunisha CV yake kwa muda mfupi! Senior Lecturer, mwenyekiti tume kuchunguza mali za chama, Katibu mkuu CCM, Balozi - Katibu Mkuu Kiongozi na Mheshimiwa mbunge! CV imesheheni kwa mda mfupi - watch himAmeonja tuu ukatibu mkuu.noma Sana.
Kwanini useme marehemu alitunga na huku madaktari walithibitisha? Kwasababu gani iliyomfanya mwendazake amtungie mzee Mangulla? Fafanua.Hii hadithi ya kusema Mangula kalishwa sumu ni uongo mtupu. Bila shaka aliitunga marehemu.