Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Minadhani maborn town ndiyo wanao ongoza nchi, sasa siku zote maborn town hawapendi kujionyesha wazi hasa kile wanacho lenga. wenyewe wana target zao kwahiyo wametanguliza migambo kwanza ili wakajifie huko then wao watajitokeza, vile hivi sasa mzimu wa Marehemu bado upo na raia bado akili hazijakaa sawa.
 
Shikamoo Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan. Nina mengi nitarejea baadae ila nimefurahi 85%.
 
Acha ukabila
mkuu tuna makabila mangapi nchi hii, ukisema tubalance makabila kwenye baraza la mawaziri unadhani hilo baraza hilo litakuwa kubwa kiasi gani? Au unadhani wachaga sio watanzania wa kawaida wanastahili kuchukuliwa kwa upekee kuliko makabila mengine? halafu unaweza kukuta wewe pia ni kiongozi au unandoto ya kuwania uongozi ! ACHA UKABILA
 
Tutafutieni connection na sie tukamsupport mama bega kwa bega!
Tupo tayari kabisa,
Mama yetu oyeee
 
Kweli Mh.Rais kaanza kwa speed na usiri wa hari ya juu. Hapa kazi tu.
 
Kama unaitambua ilani ni ya CCM hapo ni vema.
Lakini wewe ndo ulianza kuni quote pale nilipowauliza"wa team fulani,mpoo?"
Ukanambia mimi niachane na uteam wakati mimi sina team,nilichofanya ni kuwauliza kama bado wapo au washavunja team zao?
Team zinasababisha watu wasifikiri nn kinaendelea TZ. Kila maamuzi wanayahusisha na ushindi wa team. Tunakosa great analysis from GT sababu ya ugonjwa wa teams.
 
Sina yakuandika mengi ila kwakweli si kwakumpa miskafu ya bendera machenchi yetu dahhhh...

Naona mchana hakuna maana kulipo pambazuka tulifurahi mara ghafla kiza usiku umeingia....

Haya Mama kila la heri kama ni maamuzi yako mwenyewe🚶🚶🚶🚶
HAPO UTEUZI WA MWIGULU KWENYE KIBUBU CHETU MAMA UMETUHARIBIA SIKU!! KUNA WATU KAMA PROF. MKENDA WANGEWEZA KUFAA KWENYE ILE NAFASI LAKINI NDIO HIVYO NG'OMBE WA MASKINI HAZAI!!!
 
Sasa hivi Bashiru ndiyo washammaliza kabisa maana wanajua uchaguzi ujao kila mtu anapambana kivyake siyo kama 2015 walipo shikwa mikono.
Mama anajua kutufurahisha huyu ☺️☺️☺️
 
Alikuwa anacheza na maduhuri ya safari
Ghafla aliwiva kama Mcongo! Duh vyeo kama dhamana aise..
Compare and contrast please

20210331_180538.jpg


20210331_180558.jpg
 
Ameonja tuu ukatibu mkuu.noma Sana.
Bashiru Ametunisha CV yake kwa muda mfupi! Senior Lecturer, mwenyekiti tume kuchunguza mali za chama, Katibu mkuu CCM, Balozi - Katibu Mkuu Kiongozi na Mheshimiwa mbunge! CV imesheheni kwa mda mfupi - watch him
 
Hii hadithi ya kusema Mangula kalishwa sumu ni uongo mtupu. Bila shaka aliitunga marehemu.
Kwanini useme marehemu alitunga na huku madaktari walithibitisha? Kwasababu gani iliyomfanya mwendazake amtungie mzee Mangulla? Fafanua.
 
Back
Top Bottom