blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
Minadhani maborn town ndiyo wanao ongoza nchi, sasa siku zote maborn town hawapendi kujionyesha wazi hasa kile wanacho lenga. wenyewe wana target zao kwahiyo wametanguliza migambo kwanza ili wakajifie huko then wao watajitokeza, vile hivi sasa mzimu wa Marehemu bado upo na raia bado akili hazijakaa sawa.