Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Mbona hata mpoki, joti, mchizi Mox na Irene Uwoya wakipewa iyo wizara hata urais mambo yataenda tu. Mbona Hayati aliweza urais?
 
Wizara ya afya iliihitaji sana mabadiliko awekwe mtu ambaye angalau anaamini juu ya sayansi ila ndio hivyo tena.
Kwahiyo unataka kusema huyu Dr.gwajima sio mtu sahihi kwahyo secta aliyo somea na kihudumu muda mrefu
 
Jamaa ni mjanja sana yaani na sasa ndiyo wakati wake maana kabakia yeye ambaye bado ni active kuliko mzee wetu wa kuuliza jina la mwanawe

Mkwere nae kisha choka hana nguvu tena sasa anajaribu kumuongezea mwanae ili akiondoka amuache mahala pazuri kisiasa!!!
 
Angekuwa meko angeteua wakatoliki wote, sasa kibao kimegeuka mfyuuuuu zenunu mikatoliki na misukuma
 
CCM watu wa ajabu sana , huwa hamjifunzi kwa makosa mliofanya huko nyuma , Mwizi Mwigulu Nchemba awe waziri wa fedha serious ?
 
Na yule Dotto James kamuacha pale hazina?

Kuna uchunguzi unaoendelea kati ya BOT na Hazina na yeye ndio yuko katikati ya huo uchunguzi hivyo asingeweza ondolewa, hata hivyo nadhani it is a question of time before hao makatibu wakuu nao wakabadilishwa.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…