Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Aisee hapa naona mama kama kateleza Mwigulu wizara ya Fedha? mbona simuamini!
Aliyempendekeza Mwigulu kuwa Waziri wa Fedha ni Makamu wa Rais Mh Mpango, hujamsikia Rais akisema kamchagua Mh Mpango ili amshauri vizuri kuhusiana na mambo ya kifedha? Kwa hiyo bila shaka Mh mpango ndie aliyempendekeza Mwigulu N.
 
Hivi waziri wa fedha anatakiwa kuwa na sifa zipii?
Hongera bro mwinguru
 
Back
Top Bottom