King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kwa hili baraza jipya Mama kazingua
Bado ana wenge la cheo cha urais ,ngoja astabilize kwanza akae kwenye equilibrium ndipo ataanza kufanya maamuzi mazuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hili baraza jipya Mama kazingua
Dorothy Gwajima anaendelea kuwanyoosha wezi wa dawa.
Bashiru anaenda kubishana na Msukuma Bungeni.Bashiru?
Mbunge wa viti maalumBashiru?
Mbunge wa kuteuliwa.Bashiru?
Alikuwa anacheza na maduhuri ya safariKule mambo ya Nje Kabudi alikupenda sana
DK GWAJIMA ALISTAHILI KUTUPWA NJE YA BARAZA, SEMA MAMA ANA MOOD NA WANAWAKE WENZAKEUteuzi wa Nchemba personal he is not ideal candidate, kwa mambo ya nje kumtoa Prof pale ni vizuri zaidi
OR-TAMISEMI mama angemteua Dkt.Gwajima .D . Angeenda kuwachezesha mchaka mchaka
Ndiyo dawa ya mtu asiyekubalikaHuyu Mama Ana Kusudi Sana Nadhani Hataki Kufanya Kazi Na Mwalimu Wangu Bashiru, Kamteua Kuwa Mbunge Halafu Kamwacha Domant Tu.. Daaaah Dharau Hizi.
Atakuwa kapokea mmoja.....Ivi ashawah kupokea hata mshahara wa ukatibu?
Duuh!Mama ameanza vibaya, karudisha wahuni wale wale..
Tulieni dawa iingie, Mzee Mwanakijiji alishawapa angalizo mapemaMama ameanza vibaya, karudisha wahuni wale wale..
Sasa kwanini katolewa na hata miezi miwili hajamaliza.zingekuwa kweli asingepewa ubunge. uwe na akili
Kapokea mshahara mwezi mmoja tu wakati alishafanya shopping ya kufa mtu akijiandaa kwa maisha ya ikuluBashiru ndio atakuwa Katibu Mkuu kiongozi aliyekaa kwa muda mfupi sana katika historia ya nchi yetu so far