Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Acha ujinga basi wewe .. Huu sio wakat wa kuwaza mambo za dinidini.. Wapi umesikia serikali ina dini..?
Kukurupuka kwako kuleta Uzi ni ushamba tu wa kutaka ujulikane kuwa nawe upo updated ukifuatilia yaliyokuwa yanajiri Chamwino.
 
Pengine Dr Bashiru akarudishwa kwenye chama? Kama KM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…