NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Mwigulu msiempenda kaja,tena kaja juu zaidi.Hii statement imetolewa na Kiongozi gani wa Chadema
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
haaaa mmepoteana[emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwigulu msiempenda kaja,tena kaja juu zaidi.Hii statement imetolewa na Kiongozi gani wa Chadema
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Mi nakula sahani moja na wakubwa zako.Tulia bwamdogoJamaa enu akina nani? CHADEMA?
Huko ulikoelekeza kichwa siko, kitaliwa na mamba! Jifunze kukimbia kwenye Lane yako dogo ili usijichanganye Kama ilivyofanya! Mbowe kaingiaje hapa bwana makamasi?Kwani ulidhani atamteua Mbowe?
Umesahau kwamba Samia ni CCM wa kugalagala?
[emoji28][emoji28][emoji28]Dorothy Gwajima anaendelea kuwanyoosha wezi wa dawa.
Katoka mbali lakini tangu muhasibu kapanda panda wee kaja Ubalozi naleo kaukwaa CS
Mheshimiwa Mbunge Balozi Dr. Bashir (PhD) KMK Mstaafu.Bashiru kateuliwa kuwa mbunge.
Amekanyaga Mtandio Wa Mama Mpaka Chali Cha Mende!!😃😂😁😀Mheshimiwa Mbunge Balozi Dr. Bashir (PhD) KMK Mstaafu.
Alishawahi kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama kabla ya kuwa BaloziKatoka mbali lakini tangu muhasibu kapanda panda wee kaja Ubalozi naleo kaukwaa CS
Kwa hiyo unakiri kuwa 2015 CCM mliangukia pua. Dhambi ni dhambi tu aliiba kura wacha asote ajue kuwa nyuki hakumbatiwi kamwe.Asingechakachua si angeshinda Lowasa ambae na ni walewale tu?
Lowasa baada ya kurudi CCM si ndo mliamini kama pandikizi la CCM?
Huyu ni mtendaji mzuri sana, aliwahi kuwa RAS Singida halafu akaja kuwa Katibu Mkuu MAHAKAMA; alikosimamia mageuzi makubwa! Hana mambo ya kijinga jinga ya kuyubishwa na wanasiasa.Katibu mkuu kiongozi - Hussein yahya Katanga (balozi yupo japani)
Taratibu na mifugo yako usije ukaimaliza kabla ya sherehe kuu, bado Kuna kina sabaya na wenzieYan nimechinja Bata baada ya bashiru kupewa ubunge wa viti maalum
Alikupa mimba bila matunzo?Mwigulu ni mtu hatari sana hakustahili kuwemo kwenye hii cabinet mpya.