Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Vipi kuhusu mawaziri wengine? hata kama wanabaki kuwa walewale wa Magufuli nao si atalazimika awawaapishe upya?.
 
Kwani ulidhani atamteua Mbowe?
Umesahau kwamba Samia ni CCM wa kugalagala?
Huko ulikoelekeza kichwa siko, kitaliwa na mamba! Jifunze kukimbia kwenye Lane yako dogo ili usijichanganye Kama ilivyofanya! Mbowe kaingiaje hapa bwana makamasi?
 
issue ya bashiru kuondolewa ktk nafasi ya ukatibu mkuu, naweza sema kwa asilimia kubwa imechangiwa na kelele za bwana fulani wa twitter.

kwa wiki mbili mfululizo, amekuwa ana tweet namna ambavyo bashiru ameshiriki kukwapua mabilioni ya fedha toka bank kuu.

niwashauri mataga msiwe mna underestimate information za huyo mtu. sio kila anacho tweet ni uzushi.
 
Huyo ni mtu wa mkwere

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
images (25).jpeg
 
Asingechakachua si angeshinda Lowasa ambae na ni walewale tu?
Lowasa baada ya kurudi CCM si ndo mliamini kama pandikizi la CCM?
Kwa hiyo unakiri kuwa 2015 CCM mliangukia pua. Dhambi ni dhambi tu aliiba kura wacha asote ajue kuwa nyuki hakumbatiwi kamwe.
 
Back
Top Bottom