Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

kwahiyo Mwigulu Nchemba ana taaluma ya fedha au uchumi, au hiyo wizara nyeti ataiendeshaje?
 
kwahiyo Mwigulu Nchemba ana taaluma ya fedha au uchumi, au hiyo wizara nyeti ataiendeshaje?
kwenye hili mama atakuja kujutia maamuzi yake watu wa TISS wampe vetting ya mwigulu aone kuwa ni msaka urais na hafai ile wizara
 
Huyu mama htr badala ya balozi nchimbi katuletea balozi katanga hahaaa patam apo
 
Hivi huyu naye anastahili marupurupu ya KMK mstaafu? Au sheria za kazi zinasema hapa? Alikuwa hata hajamaliza miezi ya probation!

Angalieni [ clip] ,body language ya Rais Samia akiwa VP wakati Jiwe anamuapisha Bashiru kuwa Katibu Mkuu kiongozi!!! It was obvious kuwa kahuridhia ile rapid promotion aliyokuwa anapewa Bashiru na Jiwe!!!
 
ofisi ya Jafo

Uwekezaji imerudi chini ya ofisi ya waziri mkuu

Ummy mwalimu-tamisemi

Wizara ya fedha -mwigulu nchemba

Sheria- kabudi paramagamba

Mambo ya nje- balozi mulamula

michezo -naibu (gekulu) ulega amerudi mifugo

Afya- naibu wa pili Mwanaidi ally hamisi

Bashiru-mbunge wa kuteuliwa

Zingine zimebaki kama zilivyo.
Bashiru-mbunge wa kuteuliwa tusubiri katibu mkuu mpya yule balozi mbunge mpya na Bashiru anaenda benchi bungeni
 
Vipi mchechu hajawa KMK??
Screenshot_20210331-172637_1.jpg
 
Makamba jr mbona anapigwa spana kote kote? meko na ssh wote wanampa za chembe,inaonekana Jr anaogopwa sana kuwapiku nafasi yao ya urais.
Anapenda sana makundi, hajuhi kusimama yeye kama yeye, hajawahi kukua anaamini nyota ya baba yake ndani ya ccm itaendelea kumbeba!
dadadeki.jpg
 
Back
Top Bottom