Lost opportunity hajawahi kuwa nahekima. hapa samia amepotea.Nakupongeza Dr, L. M. Mchemba kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Fedha.
Naamini elimu na weledi wako sasa utaulekeza katika fani ulio bobea.
Mungu akujalìe hekima na uadilifu wa maamuzi yako katika nafasi hiyo.