Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Ingekuwa unaweza kuweka attachment, wangeweka cv zao. People are desperate, Nyani.

Amandla..
Basi kumbe ndo maana huwa wana-project hizo desperations zao kwa wengine!

Manake mimi sijawahi hata siku moja kuhusisha uungaji mkono wa kiongozi flani na kutaka uteuzi!

Hata wewe Fundi ukiandikaga pointi hapa JF [siyo ule utumbo wako…hahaa joking] huwa nakupa kudos….si kwamba nataka kitu toka kwako!
 
Hakika mkuu. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Status yako inapanda ukiteuliwa kama Balozi, ile Passport inakulinda mno.
Labda na mafao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana mama katoa waliokuwa wasaidizi wa Magu wote aliowarithi. Anataka aweke safu yake na JK.

Nasubiri watu kama akina Eliakimu Mwaswi,Kitwanga,Mukulo na wengineo sasa kuanza kuchomoza upya.
Warudi tu hamna noma....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…