Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Ingekuwa unaweza kuweka attachment, wangeweka cv zao. People are desperate, Nyani.

Amandla..
Basi kumbe ndo maana huwa wana-project hizo desperations zao kwa wengine!

Manake mimi sijawahi hata siku moja kuhusisha uungaji mkono wa kiongozi flani na kutaka uteuzi!

Hata wewe Fundi ukiandikaga pointi hapa JF [siyo ule utumbo wako…hahaa joking] huwa nakupa kudos….si kwamba nataka kitu toka kwako!
 
Naam, kwenye siasa za Maziwa Makuu na Utatuzi wa Migogoro nadhani kwasasa yeye ni moja kati ya wataalamu ambao wana uzoefu na uelewa mkubwa hapa nchini. Kibarua kikubwa ambacho anacho kwasasa ni kuhakikisha anatengeneza kizazi kipya cha wataalamu, maana kile cha zamani ndiyo kinaondoka hivyo.

Hili la kuwateua vijana awengi kutoka Foreign Affairs limenigusa mno, they all have institutional memory. Naamini kabisa wakiendelea hivi tutafika sehemu nzuri,.....
Hakika mkuu. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Hivi kuteuliwa serikalini kibongo bongo ni dili eh?

Kweli mentality zipo tofauti sana.

Wakati baadhi yetu hatutaki kabisa kufanya kazi serikalini, wengine wanaona kufanya kazi serikalini ni zali!

Ndo maana mara nyingi wengine huwa hatuelewani kabisa humu!

I mean…ubalozi nao ni dili? [emoji1787]
Status yako inapanda ukiteuliwa kama Balozi, ile Passport inakulinda mno.
Labda na mafao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom