Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Mkuu sidhani kama uko sahihi. CDF na CoS appointment zao zinaenda sambamba na utaratibu uliopo ni kwamba utumishi wao unadumu miaka 4 hadi watakapotimiza miaka 60 baada ya hapo wataendelea kwa ridhaa ya Amiri Jeshi Mkuu.

Kuhusu kutofautiana nalo sidhani kama lipo kwani Gen. Mabeyo na Gen. Mohamed " wamekulia" idara moja kwa muda mrefu na wanaelewana fika.

Redeployment ya Gen. Ibuge ni sawa tu kwa sababu ile nafasi inataka a career diplomat.
Aasante sana mkuu nimewaza tuuu maana kule navy pia ametolewa basi sawa tuamini mambo yako shwari ....vipi JKT lakini nako shwari ?? Wajua hapo Gen 4 wameguswa in aweek.....plus Takukuru....na Ibuge ...jumla 6
 
Kwani ukiwa miss/ mlimbwende baada hapo hautakiwi kufanya kazi nyingine au mtu yule ndio anakuwa ameharibika? huo ni mtazamo mbaya juu ya urembo, kwani urembo unatofauti gani na michezo mingine?
Afrika hususani Tanzania kuna mentality fulani fulani za ajabu ajabu mpaka wakati mwingine unajiuliza hawa watu wana akili timamu kweli au ni magarasa tu
 
Wakuu naomba tujuzane hapa hapa, Nowdays naona ubalozi imekuwa kama hisani au mapenzi ya mtu siyo taaluma au?

Although pale kurasini jirani na jkt mgulani kuna chuo cha diplomasia kinazalisha wasomi wenye fani na ustadi huo.

Now naona kila mtu popote alipo ananyofolewa kuwa balozi, so hao wasomi wanafanya kazi gani mpaka kupewa mtu kama mwanaharakati, mstaafu au mjeda?
.

NANI KATUROGA?
 
Watu wote hao halafu bado vituo vya kazi awajapangiwa, hila wanaanza kupokea mishahara na marurupu yao kuanzia leo.

Si kujiongezea government expenditure unnecessarily, worst many on that list are not even trained in international relations nor being career diplomats from ministry of foreign affairs.
 
Back
Top Bottom