Ndombwindo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2013
- 1,387
- 2,085
Nyani haoni kunde lake, kwa uzoefu wangu humu ndani na huko nje, asilimia kubwa ya Wanaotumia hilo neno kukashifu wenzao unakuta wao hilo jina ndio linawafaa mbaya.Alimaanisha ninyi MATAGA msijeleta balaa!
MACHAGA ndio nani?TRA wameshafungulia akaunti za MACHAGA?
MATAGA mnalo safari hii.Nyani haoni kunde lake, kwa uzoefu wangu humu ndani na huko nje, asilimia kubwa ya Wanaotumia hilo neno kukashifu wenzao unakuta wao hilo jina ndio linawafaa mbaya.
Kumbe neno Mataga ni kashfa 🤣🤣Nyani haoni kunde lake, kwa uzoefu wangu humu ndani na huko nje, asilimia kubwa ya Wanaotumia hilo neno kukashifu wenzao unakuta wao hilo jina ndio linawafaa mbaya.
Make Chadema Great Again!MACHAGA ndio nani?
Msilete balaa...!Make Chadema Great Again!
Aliyewatuma ninyi Mataga alikuwa mkabila sana.Make Chadema Great Again!
Mkuu katika siasa kuna kitu inaitwa tact, kusifiwa kwa mgongo wa chupa.Ila cha kushangaza hawa wazee wetu hawawezi kukemea pale mtawala anapofanya mabaya kama alivyokuwa akifanya magu. wao ni kusifia tu jambo ambalo linawapunguzi sana heshima ktk jamii na kuonekana watu wasio na umuhimu.
Tuna shukuru Mzee Mwinyi kwa kumpa Ushauri Mama.Taarifa kamili ya mazungumzo ya Viongozi hao imeambatanishwa hapo chini
Lakini alisema yeye mwenyewe kuwa hayupo vizuri, labda uwezo wake kwa sasa umepungua kidogo sana.Mbona amezungumza vizuri tu na waandishi wa habari?
Naona utabiri wangu unakwenda timia tarehe 08/05/2021Nikitazama picha naona Mzee Mwinyi kama ana kitabu pale kwenye mkono wa kochi nadhani anataka kuzindua kitabu cha nyakati na maisha yake.
Nadhani ndio kaenda kum brief Mhe Rais Samia.
Tufanye subra Muda utaongea zaidi.