Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi

Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi

Ila cha kushangaza hawa wazee wetu hawawezi kukemea pale mtawala anapofanya mabaya kama alivyokuwa akifanya magu. wao ni kusifia tu jambo ambalo linawapunguzi sana heshima ktk jamii na kuonekana watu wasio na umuhimu.
 
Mkuu katika siasa kuna kitu inaitwa tact, kusifiwa kwa mgongo wa chupa.
Kama mtu hawezi elewa hilo yuko finished!
 
Nikitazama picha naona Mzee Mwinyi kama ana kitabu pale kwenye mkono wa kochi nadhani anataka kuzindua kitabu cha nyakati na maisha yake.

Nadhani ndio kaenda kum brief Mhe Rais Samia.

Tufanye subra Muda utaongea zaidi.
Naona utabiri wangu unakwenda timia tarehe 08/05/2021

Wakati Mzee Mwinyi akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa.
IMG_20210502_123950.jpeg
IMG_20210502_123936.jpeg
 
Back
Top Bottom