Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana. Hamna kitu hapo.Taarifa kamili ya mazungumzo ya Viongozi hao imeambatanishwa hapo chini
Mzee Mwinyi anatakiwa asamehewe bure popote atakapotereza, kwa umri aliokua nao wazee wengi huwa akili zinaruka kidogo na kurudi utotoni.
Mungu amlinde na amuongoze. Taifa hili wasingekuwepo Mzee Mwinyi na Mzee Mkapa, nchi ingegawanywa na MATAGA katika vikao vyao vya CCM (Wee Bashilu, chukua mkoa wa bukoba utakuwa wako, na wee nanii, nanii, eenh Hapi chukua mkoa wa ilinga utakua shamba lako - Mtaandika maombi ya kuomba hati muyalete ofisini kwa Lukuvi, mimi ndio laisi wa nchi, ntawapa. Nasema ntawapa.)
Miaka ya hivi karibuni TANZANIA hatutapata raisi mwenye hekma na busara Kama JK(MBAYUWAYU),Trust me🤔
Acha lugha chafu haikusaidii, kama unahoja iweke wazi mie nimetoa data kama una yako weka tuone.Mahakama za yule wa tuhuma za mauji ya Kanumba ndio zilikuwa zikitoa haki. Kumbafu mkubwa.
Huyu mzee wangemuacha tuu sio wa kumsumbua sumbua maana hata network zinakatakata, isije akaongea mambo ambavyo yatamuaibisha kumbe tatizo ni kumbukumbuNi sawa kabisa, nami nimejiuliza kuhusu uwezo wake wa sasa juu ya utambuzi na uchakataji - uchambuzi wa kina na yakinifu wa mambo.
Siri ya kuishi miaka mingi ni 3 tu:Mama Sitti hapa paitwaje vile?.
Ikulu
Ahh Ikuluuuu[emoji28]
Mh Mwinyi tunaomba siri ya kuishi miaka mingi jmn na uko so happy.,
Hivi hebu kuwa mkweli,ni nani amemchafua mwendazake?Hamna Mtanzania asiye taka kumuunga mkono Mh Rais, tatizo ni pale anaposhindwa kujipambanunua kuwa alikuwa msaidizi namba moja wa mwendazake. Wakati mwendazake ana chakufuliwa kakaa kimya kama hayuko na hasikii au anafurahia kimoyomoyo?! Ukweli ni kuwa Magufuli hawezi kuchafuliwa na walio tumikia naye wakafikiri watabaki salama. Spika anaona atabaki salama kwa kusema mwendazake alishauriwa vibaya ana sahau anayo skandali ya mabilioni ya matibabu ambayo ilikuwa ina hang somewhere ni suala la muda tu. Wakimaliza hii biashara yao kichaa ya kumpaka oil chafu mwendazake watamgeukia hili halihitaji akili kubwa kulijua. Alishauriwa na nani zaidi ya nyie mlio kuwa mnamzunguka na kufanyakazi pamoja naye?
Mbona Judge Mkuu hatumsikii akiendekeza haya mambo ya kusikitisha na kutahayarisha yanayo endelea kwa sasa hapa Tanzania. Huyu amekuwa kiongozi mweledi siku zote. Hotuba aliyoitoa siku ya maziko pale Chato ni kielelezo tosha cha kiongozi mwenye hekima.
Wazee wamshauri huyu ahamie mhimili wa Excutive ifikapo 2025 atawafaa sana Watanzania/Tanganyika.
Duuh, inawezekana, bila Shaka ni Abdallah ally mwinyiUsikute Mzee kuna mtoto wake anamtafutia kazi, ndiyo zake huyu,wakati anamtafutia Hussein Urais alikuwa anamsifia sana mwendazake.
Haaaa, mama Siti angekuwepo angemkumbusha.Swala la kwanza, Mwinyi anajua alikuwa anaongea na nani [emoji848] [emoji848] [emoji848]
Acha lugha chafu haikusaidii, kama unahoja iweke wazi mie nimetoa data kama una yako weka tuone.
Hivi hebu kuwa mkweli,ni nani amemchafua mwendazake?
Kavaa barakoa au anatak amuue mzee wa watu?Taarifa kamili ya mazungumzo ya Viongozi hao imeambatanishwa hapo chini
Alimaanisha ninyi MATAGA msijeleta balaa!Amemtaka amalizie miradi yote ya Magufuli na ikiwezekana aongeze na ya kwake kidogo!
Samahani lakini bwashee.
TRA wameshafungulia akaunti za MACHAGA?Alimaanisha ninyi MATAGA msijeleta balaa!
Huko kote hajaona wala kusikia huyo bwashemeji wako.Amemtaka amalizie miradi yote ya Magufuli na ikiwezekana aongeze na ya kwake kidogo!
Samahani lakini bwashee.