luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
TBA ni watendaji sio wasimamiziMiradi ya ujenzi wa majengo ya shule na afya kwa mfano kwa nini wasifanye TBA? Kitengo cha uhandisi kule kitoke kiende TBA
Kumbuka pia TBA wali laumiwa ktk miradi kadhaa utendaji mbovu mfano majengo ya makazi ya askari magereza kula Gongo la mboto sijui