Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Itakuwa kampa "ubuyu mnene" wa kina Dotto ndo maana!!
 
Makamba wa kigogo hajatokelezea tujiandae Sasa kigogo kuanza kuchafua Hali ya hewa km kawaida yake maana aliekuwa anampigia pande hayupo au tusubr majaliwa apigwe chini timu msoga wapate u-pm
Many did not see this coming, huyu ni Mh. Raisi hapangiwi na mtu
Hakuna cha gogoki, msoga, chato, wala wapi
Sasa watu ndio wanajua kwamba kuna The Number 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…