Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlimfikiri mtampangia Rais Mama Samia.Ninyooke kwani mimi ni Kheri James!! 😇
Uzuri mama anajitambua atamburuta tuSaitakuaje😂😂😂
Waambie watulie walambe dawaKuweni wapole tu bado mambo yanaenda kama yalivyopangwa!
Umeambiwa mlete shangazi yako.Nakuheshimu sana mkuu....
Hahahaa duhHuyo jamaa ana nyota ya kutajwa sana, sijawahi kuona akifaa nafasi yoyote ya juu popote kiuongozi.
Sijui ni chuki zangu tu!!
Jina hilo limepelekwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri, na kukabidhiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai.
Spika Ndugai akisoma ujumbe wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema..
Mheshimiwa Spika, nawasilisha Bungeni Jina la Mheshimiwa Philip Isdori Mpango kwa Nafasi ya Makamu wa Rais Tanzania.
Nyambafu mkeo na mamakoUmeambiwa mlete shangazi yako.
Fanya faster
Nyambafff
Kiukweli hata JK hataki kurudi kwenye zama zake. Japo watu wanasema ni mnafiki bado alimpenda Magu kumbuka amemwachia Nyumba na wabunge wawili nyumbani kwake.Hahahha.. Wako hoi hawa jamaa zetu
Tangu lini Wabena wakatoka Buhigwe?Atakuwa Mbena huyu
Mmmh HV umeuliza swali zuri Sana ukisoma masharti ya Jimbo kuwa wazi sidhan km kupanda cheo ipo ngj nikapitie katibaJimbo lake litakuwa wazi?
zam hii kanda ya magaharibi -- Kigoma moja tumekumbukwa hahahahah Big up Mama SAMIA kwa good selection..KIGOMA OYEEEEEEEEEEEEWoyooooo[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Many did not see this coming, huyu ni Mh. Raisi hapangiwi na mtuMakamba wa kigogo hajatokelezea tujiandae Sasa kigogo kuanza kuchafua Hali ya hewa km kawaida yake maana aliekuwa anampigia pande hayupo au tusubr majaliwa apigwe chini timu msoga wapate u-pm
Una sababu za msingi au chuki tuuSeriuos..hajafit
Yawezekana unawaza sahihiItakuwa kampa "ubuyu mnene" wa kina Dotto ndo maana!!