Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Namuona Kimei akipiga jaramba nafasi aliyokuwapo dk Mpango ya uaziri wa fedha na mipango itamfaa sana.
 
Namkumbuka VP. Mpango alivokomaaga pale bandarini ili mkuu wa mkoa wa Dar wa zamani alipe kodi ya fenicha alizoingizaga toka nje. Mpaka JPM alipo ingilia kati. Daaa! hesabu za mama ni kali.
 
zam hii kanda ya magaharibi -- Kigoma moja tumekumbukwa hahahahah Big up Mama SAMIA kwa good selection..KIGOMA OYEEEEEEEEEEEE
Au sio😀 kwaio unamwambia zito arudi home mkavue migebuka?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
how old is this guy ?

a replica of Ghalib Bilal

harmless, aloof, lethagic, tired and sickly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…