3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Unadhani anaweza kukataliwa mkuu?Ni mapendekezo bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani anaweza kukataliwa mkuu?Ni mapendekezo bado
Hapana, mpango ni flexibleHuyu atamshauri Rais asiongeze mishahara ya watumishi
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Sheria ni msumemo haya mambo hayana bosi.Dotto ndio alikua bosi wa mpango hata kama mpango alikua ndio waziri
Haya tuseme kaletwa na kikwete sasa kikwete yuko chademaAliyemuibua Mpango ni Kikwete kwenye ule mradi wa Big Results
Sidhani...wabena? Hapana...Atakuwa Mbena huyu
Ni lini tumewahi kuwa na V.P mkali?Mpango ni mpole mnoo!
Au sio😀 kwaio unamwambia zito arudi home mkavue migebuka?zam hii kanda ya magaharibi -- Kigoma moja tumekumbukwa hahahahah Big up Mama SAMIA kwa good selection..KIGOMA OYEEEEEEEEEEEE
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnyukano ndani ya shambani kati ya mazao ya kale na mazao kizazi kipya yametifuana sana na hakuna anayetegemea mpaka sasa kama mazao yaliyorutubishwa kiwandani yangepata nguvu ya kuzidi mazao ya asili.
Picha hii inanikumbusha yule kijana ambaye alitegemea mzazi wake aliyekuwa kigogo kwenye ofisi ambayo yule kijana alipata nafasi kutokana na babake.
[emoji1485]Aluta continue...
Kwa mauwizi yanayoendelea mpango hana say kwa hawa wadhurumatiUna sababu za msingi au chuki tuu
Ok mkuuMmmh HV umeuliza swali zuri Sana ukisoma masharti ya Jimbo kuwa wazi sidhan km kupanda cheo ipo ngj nikapitie katiba
Kwani alitabiri nani?Kigogo hoi
Hapana, mpango ni flexibleHuyu atamshauri Rais asiongeze mishahara ya watumishi
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Tunajadili Makamu wa Rais CHADEMA inaingiaje hapa? Kaoge inaelekea bado umelowa matako!Haya tuseme kaletwa na kikwete sasa kikwete yuko chadema