Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Tumempata VP Mcha Mungu na msafi kiutendaji. Ni Mnyenyekevu sana na wa hofu ya Mungu. Hana skendo ya Ufisadi. Ni mchumi mbana matumizi mzuri. Haingiliki kirahisi. Wataendana vizuri sana na Mh. Rais
 
Imepenya wapi tena 👁
 
naona mnaweweseka ..tulieni sindano bado inapenya tarattiiiibuuu....

Pigo la kwanza takatifu murua kabisa kwa sukuma gang mafiaso

Sasa tunasubiri mapigo mengine ...
Fikiria kuwa unachowaza ni kinyume na uhalisia
 
Mpango alikuwa mbunge wa jimbo gani huko Kigoma maana kuanzia sasa lipo wazi!
 
Dah! Hii nchi ilipofika na wabongo tulivyo majizi hatukutakiwa kiongozi mstaarabu wala mpole kabisa.
mzee pamoja na ukali wake lakin bado kuna watu nyuma yake walikuwa wanapiga deal.
kuna tofauti kubwa kati ya upole na mtu asiongea lakin mtendaji.
 
Mwendo ni ule ule. Wale wanaofanya siasa za propaganda, kupika chuki ili kugonganisha, kuita watu chawa n.k. wajifunze siasa za kisayansi. Sikiliza speech ya Dr. Mpango, ndiyo utajua mwendo ni ule ule.

Alafu waliokuwa wanapika majungu kwamba CCM imegawanyika waendelee kujifunza hata kama hawataki. Jina lilipendekezwa na kuthibitishwa kupitia vikao vya CCM, lakini hatujasikia kabisa kuvuja kwa jina hilo. Hiyo inaonyesha uimara wa CCM!
 
Dada mama D Ramli za Kigogo Hazijatimia? Ni Watu wajinga Tu wanaoweza kumwamini Kigogo, Mara January, Nchimbi, Mara Sjui Bashiru. Wale waleta twiti za Kigogo Hakuna Twiti Mpya Huko? [emoji2][emoji2][emoji2]
yeye pamoja na veronica wote ni watu wa makundi.
makundi haya ndio yana interest. hapa mama kafanya vyema kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…