Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maybe wanaongelea dollarsnet worth 62m???
Yaani raha juu ya raha😍🇹🇿🔥🔥🔥Shoga nakuona mahaba kama yote lol
Imepenya hiyooooooo
Hongera sana Philip Mpango kwa uteuzi
Tuna imani kubwa kwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Mungu akutunze sana Madame
Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli, ujue tuu ulituachia viongozi makini sana
Ila aliyetungaga haka kawimbo sijui aliwazaga nini
Chama imara, serikali imara...... ngoja nikajiunge rasmi sasa nipate usajili wa chama kwa mara ya kwanza
Fikiria kuwa unachowaza ni kinyume na uhalisianaona mnaweweseka ..tulieni sindano bado inapenya tarattiiiibuuu....
Pigo la kwanza takatifu murua kabisa kwa sukuma gang mafiaso
Sasa tunasubiri mapigo mengine ...
Kiongozi wao kafa,mwingine kakoko yupo ndaniHilo genge ni lipi? Liko wapi au lilikuwa wapi?
Jina hilo limepelekwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri, na kukabidhiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai.
Spika Ndugai akisoma ujumbe wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema..
Mheshimiwa Spika, nawasilisha Bungeni Jina la Mheshimiwa Philip Isdori Mpango kwa Nafasi ya Makamu wa Rais Tanzania.
Soma > Wasifu wa Dkt. Philip Isdori Mpango
Pamoja na yote..! Uoga ukizidi hata ufanisi haupo tena, tutegemee Mpango wa aina nyingine kabisaNdio maana kasema hii kazi sio ya mjomba tena
mzee pamoja na ukali wake lakin bado kuna watu nyuma yake walikuwa wanapiga deal.Dah! Hii nchi ilipofika na wabongo tulivyo majizi hatukutakiwa kiongozi mstaarabu wala mpole kabisa.
Kasemaje huyu tapeli wa dini za Kinaija?Eh!! Gwajima ana nini lakini? Asee bunge la awamu hii ni tatizo kubwa.
Aaaaahhhh hakuna jipya,,, mwendo ni ule ule HAPA KAZI TU lazima tuijenge Tanzania Yetu Lazima tuijengeeTusubiri..muda utasema
Hahahhahah.... Unaumia bure tu hii ndio ccm wengine mtaendelea kuwa wasindikizaji kupitia twita za kigogo na belgijiKiongozi wao kafa,mwingine kakoko yupo ndani
Hahahaha kwann umeuliza hiviHivi kabudi anaumwa macho?
Acha tuoneUyu team Msoga ndo atakamata wizara ya fedha,au nasema uongo ndugu zangu Bavicha?
Mama jeAmepoa sana....kwa matendo ya wanaccm hawezi
yeye pamoja na veronica wote ni watu wa makundi.Dada mama D Ramli za Kigogo Hazijatimia? Ni Watu wajinga Tu wanaoweza kumwamini Kigogo, Mara January, Nchimbi, Mara Sjui Bashiru. Wale waleta twiti za Kigogo Hakuna Twiti Mpya Huko? [emoji2][emoji2][emoji2]