Timu Msoga imeshatoa kiongozi wa juu hivyo timu nyingine nazo zinapewa nafasi.Mpango yupi tena jamani?
Si tulikubaliana mama aweke safu mpya na team Msoga wawemo?
Dr. Philip Isidor Mpango siyo mpole ila ni mstaarabu. Ni mtu wa kufuata miongozo na taratibu sana.Hekima za mama kuwa yeye ni mpole na msaidizi wake ni mpole, watanzania wanahitaji upole kwa sasa.
Walitaka kuteuliwa!Wapo wengi tuu sasa wanasikilizia ilipopenya😂😂😂😂
Mkuu umecheka mimi nalia, jamaa wanaunganisha topic.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa, sasa nipeni mbinu mpya ya kuwa 'chawa' wa mama fasta.
Watu wa Kigoma kina Zito kabwe, ni wakati wenu huu wa kuungana kama ilivyokuwa kwa Wasukuma enzi zile.Kigoma
Itabidi iwe hivyo! Kinyume na hapo, basi atakuwa ndiye Makamu wa Rais wa kwanza wa Rais nchini ambaye kwa wakati huo huo anahudumu pia kama Mbunge.Jimbo lake litakuwa wazi?
Wengine hapa tunafanya kazi tuliyoitiwa na Mungu kwa ajili ya Taifa la Tanzania.
Akiongea anatoa sana machoHahahaha kwann umeuliza hivi
Serikali ipo imara sanaWalitaka kuteuliwa!
Hhahahahahahahaha.....hahahahha...dahAkiongea anatoa sana macho
Moderator siyo kila mtu ni rafiki, huu uzi hauhusiki na hii mada nini kimewafanya kuunganisha😬?.Mnyukano ndani ya shambani kati ya mazao ya kale na mazao kizazi kipya yametifuana sana na hakuna anayetegemea mpaka sasa kama mazao yaliyorutubishwa kiwandani yangepata nguvu ya kuzidi mazao ya asili.
Picha hii inanikumbusha yule kijana ambaye alitegemea mzazi wake aliyekuwa kigogo kwenye ofisi ambayo yule kijana alipata nafasi kutokana na babake.
👉🏾Aluta continue...
Nyie siwapiga debe tu wa ccm .walaji wengineHahahhahah.... Unaumia bure tu hii ndio ccm wengine mtaendelea kuwa wasindikizaji kupitia twita za kigogo na belgiji
Bashiru tunasukuma ndani muda sio mrefu.Safi sana... Wapi bashiru