Sasa hili la kuteuliwa leo au kesho nalo ukikuwa unasubiri kigogo aseme?Kigogo alisema atateuliwa kati ya leo au kesho, pia kigogo siyo msemaji wa serikali, anaweza kupewa taarifa ya kweli ama uongo.
Hawa viumbe wana uelewa mdogo sana wa mambo bila shaka.Wanao wanajua kila anayechukia madudu yao ni CHADEMA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaumia bure mkuuMimi nakula Meza moja na wakubwa zako. Wewe endelea kupiga kelele hapa JF
Kipengele E hakiwahusu covid 19?Jimbo lipo wazi kea mujibu wakatibaView attachment 1738554
Na mke wangu baada ya kula chakula kizuriiiii, kwenye hotel nzuriiiii"LEO NITALALA USINGIZI VIZURIIIIIIII...."
Wivu tu!TIME will TELL
It was abvoious, Sheria inasema siku 14 tangia kifo kitangazwe.Kigogo alisema atateuliwa kati ya leo au kesho, pia kigogo siyo msemaji wa serikali, anaweza kupewa taarifa ya kweli ama uongo.
Mpuuzi wewe, kwani kigogo ni msemaji wa serikali?Sasa hili la kuteuliwa leo au kesho nalo ukikuwa unasubiri kigogo aseme?
Hapana, ile maiti iliokufa kwa Covid hivi karibuni.Vipi ulitaka achaguliwe mlemavu Lissu??
Kuna makamu kafariki?It was abvoious, Sheria inasema siku 14 tangia kifo kitangazwe.
Yaani na hilo pia mpaka Kigogo awaambie?
Sasa mbona unamwamini sana?Mpuuzi wewe, kwani kigogo ni msemaji wa serikali?
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] I love Jffffffffffff......Na mke wangu baada ya kula chakula kizuriiiii, kwenye hotel nzuriiiii
π§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈImepenya hiyooooooo
Hongera sana Philip Mpango kwa uteuzi
Tuna imani kubwa kwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Mungu akutunze sana Madame
Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli, ujue tuu ulituachia viongozi makini sana
Ila aliyetungaga haka kawimbo sijui aliwazaga nini
Chama imara, serikali imara...... ngoja nikajiunge rasmi sasa nipate usajili wa chama kwa mara ya kwanza
Unataka kuongozwa na maiti?Hapana, ile maiti iliokufa kwa Covid hivi karibuni.
Katawaze kwanzaSasa mbona unamwamini sana?