Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Kigogo alisema atateuliwa kati ya leo au kesho, pia kigogo siyo msemaji wa serikali, anaweza kupewa taarifa ya kweli ama uongo.
Sasa hili la kuteuliwa leo au kesho nalo ukikuwa unasubiri kigogo aseme?
 
Kigogo alisema atateuliwa kati ya leo au kesho, pia kigogo siyo msemaji wa serikali, anaweza kupewa taarifa ya kweli ama uongo.
It was abvoious, Sheria inasema siku 14 tangia kifo kitangazwe.

Yaani na hilo pia mpaka Kigogo awaambie?
 
Mpango ni mmoja waliyekuwa wanatukanwa pamoja naye,unakumbuka Samiha alisema Mpango na Mimi tulikuwa hatukuelewi,Mlango anasema yani mimi Professor kabisa natukanwa hivi
 
Na mke wangu baada ya kula chakula kizuriiiii, kwenye hotel nzuriiiii
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] I love Jffffffffffff......
 
Imepenya hiyooooooo

Hongera sana Philip Mpango kwa uteuzi

Tuna imani kubwa kwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Mungu akutunze sana Madame

Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli, ujue tuu ulituachia viongozi makini sana

Ila aliyetungaga haka kawimbo sijui aliwazaga nini

Chama imara, serikali imara...... ngoja nikajiunge rasmi sasa nipate usajili wa chama kwa mara ya kwanza

🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Back
Top Bottom