Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Huo utendaji kazi mzuri wa mpango ni nani alie tuletea sisi wananchi ? ? Mpango kaletwa na Mh Jpm Bila Jiwe tusingemjua,,,,Watu Mna chuki zakijinga jinga sanaaaaaa

Mpango ni product ya Magu
Mpango sio aliletwa na JK. Embu fuatilia.
 
Ndiyooooooooopoteleambali.
 
Mpango ni mmoja waliyekuwa wanatukanwa pamoja naye,unakumbuka Samiha alisema Mpango na Mimi tulikuwa hatukuelewi,Mlango anasema yani mimi Professor kabisa natukanwa hivi
Mkuu binafsi sijakuelewa. Naomba ufafanue
 
Hujielewi hata kidogo

Ila utakapoacha uzushi na kusambaza habari za umbea unaweza ukajielewa japo kwa mbaliiiiiiii

MoodRN

Tumejipanga, mwaka huu wataisoma....

Aisee bonge la songi hili.

Ahsante.
 
Pwahahahahhah, bwahaahahahh, gwahahahhahh, fwaahahahahh and

Tumepeleka kilioooo
kigogo anasema mpango ni meko pure hivo kamwambia rais amalize kupanga safu yake ili aanze kumpopoa kwa miaka 4 na miezi 8

hawa wapumbavu hawataki kukubali kua muda wao ushaisha
 
Hali ya dogo Makondacta ipoje huko apipo nakumbuka seke seke lake na Dr Mpango kuhusu yale makontena kutolipiwa kodi

Dogo alikua anajimwambafai sana, sasa God father hayupo na mahasimu wake ndio hao wanazidi kupewa rungu huku yeye akiwa hana hata nafasi ya mtendaji wa mtaa.
 
Kukohoa mbele ya Media na kukana wazo la Beberu kuhusu Covid na uzushi wa kifo chake,alionyesha ujasiri anastahili kuwa hata Rais siku zijazo.
 
Sema dr Mpango ni kichwa na mbobezi wa uchumi kweli kweli, achana na kina prof Lipumba zaman walituaminisha kuwa ni mchumi mkubwa duniani, lkn miaka 5 iliyopita tumegundua kuwa prof alikuwa mchumi wa kuchumia tumbo lake
 
kigogo anasema mpango ni meko pure hivo kamwambia rais amalize kupanga safu yake ili aanze kumpopoa kwa miaka 4 na miezi 8

hawa wapumbavu hawataki kukubali kua muda wao ushaisha
Daaah hembu leta screenshot nimefutaga twitter Sababu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…