Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpango sio aliletwa na JK. Embu fuatilia.Huo utendaji kazi mzuri wa mpango ni nani alie tuletea sisi wananchi ? ? Mpango kaletwa na Mh Jpm Bila Jiwe tusingemjua,,,,Watu Mna chuki zakijinga jinga sanaaaaaa
Mpango ni product ya Magu
Imepenya hiyooooooo
Hongera sana Philip Mpango kwa uteuzi
Tuna imani kubwa kwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Mungu akutunze sana Madame
Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli, ujue tuu ulituachia viongozi makini sana
Ila aliyetungaga haka kawimbo sijui aliwazaga nini
Chama imara, serikali imara...... ngoja nikajiunge rasmi sasa nipate usajili wa chama kwa mara ya kwanza
Mkuu binafsi sijakuelewa. Naomba ufafanueMpango ni mmoja waliyekuwa wanatukanwa pamoja naye,unakumbuka Samiha alisema Mpango na Mimi tulikuwa hatukuelewi,Mlango anasema yani mimi Professor kabisa natukanwa hivi
Kwiiisha jeuri yenu
Huyo Kigogo ana hasira huko twitter hatari.Safi. Safi sana
Kigogo anasemaje [emoji23]?
Mataahira tu ndio wanaweza kumuamini huyo chizi.
Hujielewi hata kidogo
Ila utakapoacha uzushi na kusambaza habari za umbea unaweza ukajielewa japo kwa mbaliiiiiiii
MoodRN
kigogo anasema mpango ni meko pure hivo kamwambia rais amalize kupanga safu yake ili aanze kumpopoa kwa miaka 4 na miezi 8Pwahahahahhah, bwahaahahahh, gwahahahhahh, fwaahahahahh and
Tumepeleka kilioooo
Powanipe connection basi
🤣We elewa hivohivo mkuu Siasa mbaya sana 😂 😂 😂
Tumejipanga, mwaka huu wataisoma....
Aisee bonge la songi hili.
Ahsante.
Mpango ni zao la JK.Nimekupata nimekupata mkuu,ni zao la hayati.
Labda tusubiri Wafipa wanasemaje waliokua wanapendekeza wakina fulani mmoja wapo awe VP.
Huenda walimuwekea betri ya kifaru.vip hali ya afya yake kwa sasa
Daaah hembu leta screenshot nimefutaga twitter Sababu yakekigogo anasema mpango ni meko pure hivo kamwambia rais amalize kupanga safu yake ili aanze kumpopoa kwa miaka 4 na miezi 8
hawa wapumbavu hawataki kukubali kua muda wao ushaisha