Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Duh siwalisema anaugua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha.. Naona kama umeumia hivi?Bora mara elfu kuliko Bashiru, wala Kabudi wala Majaliwa
Chaguo lenu akikuwa nani?Maza katupiga knock out
Rais ajae kamili huyo
Kabisa
Huyu atamshauri Rais asiongeze mishahara ya watumishi
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
huyo wa maisha muda huu anaungua moto kwa maovu aliyotenda hapa dunianiImepenya hiyooooooo
Hongera sana Philip Mpango kwa uteuzi
Tuna imani kubwa kwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Mungu akutunze sana Madame
Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli, ujue tuu ulituachia viongozi makini sana
Ni buheri wa afyavip hali ya afya yake kwa sasa
Chaguo lenu akikuwa nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa umedandia mkia wa ng'ombeAnaondolewa Hazina kiakili sana
Ulianza vizuri ila umekuja kuaribu mwishoooni..Imepenya hiyooooooo
Hongera sana Philip Mpango kwa uteuzi
Tuna imani kubwa kwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Mungu akutunze sana Madame
Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli, ujue tuu ulituachia viongozi makini sana
Hahahha.. Wako hoi hawa jamaa zetuMpango yupi tena jamani?
Si tulikubaliana mama aweke safu mpya na team Msoga wawemo?
ApendekezwaPhilip Mpango ateuliwa kuwa Makamu wa Raisi