Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Imepenya hiyooooooo

Hongera sana Philip Mpango kwa uteuzi

Tuna imani kubwa kwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Mungu akutunze sana Madame

Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli, ujue tuu ulituachia viongozi makini sana
huyo wa maisha muda huu anaungua moto kwa maovu aliyotenda hapa duniani
 
Mpango ana afya stable. Aliumwa corona na akasurvive.

Akamchimba mkwara Makonda alipe kodi na aliyepita alikua pamoja na Mpango katika hili. Inamaanisha Mpango aliaminiwa kuanzia na aliyepita mpaka wa sasa.

Siyo sifa mbaya.
 
Hongera Rais wa JMT Mama W/Yetu Samia SH. Unihesabu Mimi kati ya wale watakao kuwa Wanafunga/Kupanda Mlimani na Kusugua Magoti kukuombea katika uongozi wako.

Hongereni CCM inaonesha hamtaki kurudi kwenye mizaha mizaha. Mungu ni mwema sana wakati wote.
 
Back
Top Bottom