NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Ilo fukuto la wajuba wanaotaka nafasi 2025 analijua na yule mama yupo smart, sidhani kama atatamani kuwania tena baada ya hii minne.Mzigo mkubwa sana kwa samia...
Kwanza ccm wanaomba ashindwe wapate sababu ya kumpiga chini 2025
Rais wa Zanzibar siku zote ni mjumbe wa baraza la mawaziriNaona mpaka Mwinyi nae anaingia kikaoni, au ndio anachukua nafasi ya VP kwa muda?
AnaingiaNaona mpaka Mwinyi nae anaingia kikaoni, au ndio anachukua nafasi ya VP kwa muda?
Atapewa hata ujaji!Unataka kumuu tena?
Hana njaa kama weweAtapewa hata ujaji!
Ataruhusiwa kugombea mara moja tu 2025!Nina swali...
Rais anaruhusiwa kuwa hadharani, mwisho miaka 10. Kwa Samia itakuwaje!? maana anamalizia ngwe
Anekuwa kashiba asingelialia huko twitter.Hana njaa kama wewe
Ana walilia watanzania kutoka kwenye utawala dhalimuAnekuwa kashiba asingelialia huko twitter.
Saivi ni mapema bado kusema yote hayo, ile kuhamia Dodoma wanaweza sema kwa mdomo tu lakini polepole ikashindikanaNataka nione kama hawa jamaa wataendeleza juhudi za serikali kuhamia Dodoma, naona dalili kama mambo yatakuwa tofauti.
Analilia tumbo lake tu!Ana walilia watanzania kutoka kwenye utawala dhalimu
Mbona alikuwa analilia hela zake za ubunge?Hana njaa kama wewe
Rais wa Zanzibar ni mjumbe wa Baraza la mawaziri la JMT.Naona mpaka Mwinyi nae anaingia kikaoni, au ndio anachukua nafasi ya VP kwa muda?
Tumpe nafasi mama afanye kazi kama Rais.Mama aendeleze mema yote ya JPM.
SiyoMakamo wa kwanza wa Rais yeye hajaingia au siyo mjumbe?
Yap Mama achape kazi, keshasema kapikwa na aliyemtangulia.Tumpe nafasi mama afanye kazi kama Rais.
Sawa mkuuSiyo