Rais Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kwa mara ya kwanza

Rais Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kwa mara ya kwanza

Mzigo mkubwa sana kwa samia...

Kwanza ccm wanaomba ashindwe wapate sababu ya kumpiga chini 2025
Ilo fukuto la wajuba wanaotaka nafasi 2025 analijua na yule mama yupo smart, sidhani kama atatamani kuwania tena baada ya hii minne.
Ile nafasi ni tamu na mwanadamu kaumbwa na tamaa, tusubiri tuone kitakachotokea huko mbeleni.
 
Nataka nione kama hawa jamaa wataendeleza juhudi za serikali kuhamia Dodoma, naona dalili kama mambo yatakuwa tofauti.
Saivi ni mapema bado kusema yote hayo, ile kuhamia Dodoma wanaweza sema kwa mdomo tu lakini polepole ikashindikana
 
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
Tunakupenda Mheshimiwa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan
 
Back
Top Bottom