NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Kwa magufuli watu mlisemaje ila badae jamaa akabeba kwa zaidi ya asilimia 80......shida bongo ma keyboard warrior ni wengi na viongozi wanajua hiloAnza kuhesabu kura atakazokosa.
Mimi sitompigia kura
TEC wanasemaje?Wengi mmekuwa mkiamini kuwa kwa hali inayoendelea nchini,Samia ataogopa kugombea 2025 au hata akigombea atashindwa!!Niwaambie tu hili halitakaa litokee.
Zifwatazo ni sababu kuu tatu...
1.Chama tawala cha CCM bado hakijazidia hoja na upinzani hata kidogo.
2.Shinikizo liliopo kutaka kumyumbisha rais halitoshi hata kidogo!! Kwan suala la DP world litaendelea kama kawaida na litafanyiwa marekebisho kidogo kwenye mapungufu ililiwe na tija zaidi kwa taifa.
3.Utulivu unaoonyesha na Samia kama kiongoz wa nchi unaonyesha hajashindwa hata kidogo kuongoza hii nchi licha ya msukumo mkubwa wakutaka kumyumbisha.
Mwisho tukutane 2025 november kushuhudia kuapishwa kwa Samia kuwa Rais wa JMT hadi 2030.
Hii thread iingizwe kwenye Hansad.
Dola, Nani anahesabu kura. Tume imechaguliwa na Rais.Hoja?
Soma vyema ID yangu mkuu.Basi mpaka umetoa kauli hiyo ni dhahiri unamatumain na chama chochote cha siasa bas ni vyema kwa kauli yako mwenyewe useme tu kuwa ccm iendelee na kazi pale ilipo ishia
Wakati wote!Wakati wowote??
Magufuli awamu ya kwanza tulimpa kura.Kwa magufuli watu mlisemaje ila badae jamaa akabeba kwa zaidi ya asilimia 80......shida bongo ma keyboard warrior ni wengi na viongozi wanajua hilo
Sikubaliani na wewe, nimefanya kazi vijijini, huko hakuna ofisi yaNi kweli atatangazwa mshindi sio kwasababu ya wingi wa kura, bali mifumo ya uchaguzi iliyopo automatically inaibeba CCM. Na kwakuwa cheo cha urais ndio kinaamua idadi gani ya kura apewe mgombea yoyote wa CCM, basi atatangazwa mshindi kwa idadi ya kura azitakazo, na sio lazima ziwe ni kura halali kwenye box la kura.
Kwa maneno marahisi ni kwamba, Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Huko vijijini hakuna ofisi za simba wala yanga. Je team hizo hazina mashabiki? Ww utakuwa ni mzee lazima, wazee ndio wanaamini kwenye ofisi. Kizazi cha sasa hakihitaji ofisi. Na isitoshe uchaguzi ni kuchagua mtu sio jengo la ofisi. Ofisi zingekuwa na maana tusingeona chaguzi za kishenzi hivi.Sikubaliani na wewe, nimefanya kazi vijijini, huko hakuna ofisi ya
chama zaidi ya ccm,
Kwanza rejea hii thread:Sawa 2025 sio mbali
Unachagua kwa kitu gani ??? Hoja au mkumbo???Huko vijijini hakuna ofisi za simba wala yanga. Je team hizo hazina mashabiki? Ww utakuwa ni mzee lazima, wazee ndio wanaamini kwenye ofisi. Kizazi cha sasa hakihitaji ofisi. Na isitoshe uchaguzi ni kuchagua mtu sio jengo la ofisi. Ofisi zingekuwa na maana tusingeona chaguzi za kishenzi hivi.
Kweli Tanzania hakuna upinzani kuna wanaharakati. Kama tungekuwa na wapinzani wanaojielewa huyu mama angepigwa chini.Lazima ashinde kwa kuwa hakuna upinzani tanzania kuna kundi la waganga njaa tu. Leo Dr. Slaaa ndio anaonekana potential canditate wa chadema ndio kiini cha kelele zote hizi mnazosikia hadi kuingiza dini. Wamesahau yote ambayo Dr. Slaa aliwatenda mwaka 2015
Kwani nyie mnachaguliwa kwa kitu gani hasa, maana hata hizo huduma za maji, umeme, elimu, afya nk ni uozo mtupu.Unachagua kwa kitu gani ??? Hoja au mkumbo???
Mfano kipind cha nyuma LEMA alikuwa anapiga porojo + uhuni halafu wendawazm wanamchagua!
Anzisha chama umpige chini, au unadhani anatolewa madarakani kwa njia ya kura?Kweli Tanzania hakuna upinzani kuna wanaharakati. Kama tungekuwa na wapinzani wanaojielewa huyu mama angepigwa chini.
Kumbe unajua huyo mama hakubaliki ila ni hujma tu ccm ndizo zinamuweka madarakaniAnzisha chama umpige chini, au unadhani anatolewa madarakani kwa njia ya kura?
Natambua mkuuSoma vyema ID yangu mkuu.
Nchini hapa msanii anaonekana mtu wa hovyo, lakini kwenye ulimwengu ulioendelea huwa wanajua uwezo wake kiakili ndo maana uwekezaji kwenye sekta hiyo si mdogo
Saikolojia yangu imenionesha jambo ambalo siliendekezi