Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

Kafanye kazi. Mkaonyeshe uzalendo uliotukuka. Katekelezeni yale yaliyomo kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
 

Kujipa Moyo ni jambo zuri
 
Dodoma ni maono ya baba wa Taifa, aliyepajenga sasa alikuwa akikamilisha tu maono ya JKN

Yeye keshamaliza, mkitaka mpauze shauri yenu yeye Hana deni lolote na yeye yupo kwenye Ufalme mwinginee
Waniuzie mimi πŸ˜€πŸ˜€ ila wakamilishe kwanza lile geti la barabara ya mfugale.
 
JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.......KAZI IENDELEE....!!!!! ukinizingua......
 
Mama anasema mkimzingua naye anawazingua,,πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…