This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Awamu bado Ni ya tano.Awamu ya tano iliisha lini?Angalau ametoa ule mkanganyiko, japo ni awamu ya sita lakini ilani inatumika ya awamu ya tano au anaandaa ya awamu yake, niweke sawa kidogo hapo chief.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hii ni Serikali ya awamu ya 6 hivyo atakayeshindwa kasi yake ataachwa njiani.
Namshukuru sana Rais Samia kwa kuliweka sawa hili kwani jana watu wengi walinibishia nilipowaambia mimi naamini hii ni awamu ya 6.
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Lakini mdau kasema Mh. Rais mwenyewe ndio kasema hii ni awamu ya sita, sasa mimi nani mpaka nibishe.Awamu bado Ni ya tano.Awamu ya tano iliisha lini?
Awamu ya uraisi Tanzania ni miaka kumi, siyo mitano .
MH.Samia bado anahudumu ktk awamu ya tano akiwa Rais wa 6.
Awamu ya tano inakamilika 2025.
Acheni uongo wenu,huyo ni Marehemu Rose Nyerere!View attachment 1739568
Mkuu, katoka naye mbali yuleee!
Hamna. Awamu inaendana na rais. Huyu ni rais wa 6, awamu ya 6. Biden rais wa 48 awamu ya 48. Haijalishi huyo rais kaptakana kwa kura au kwa kifo au kwa mapinduzi. Awamu mpya, rais mpyaMfano Marekani Biden ni Rais wa 48 katika awamu ya 47 nadhani..so huwa iko hivyo
Kimsingi Hii Bado ni awamu ya tano. Mama Samia ni Rais wa sita.
Awamu ya tano Rais wa sita.
Mkuu mm sisikilizi mama kasema nn bali naangalia uhalisia.Mkuu umesikiliza kweli hotuba ya Mh.Rais Leo..?
Awamu moja yenye miaka zaidi ya kumi bt kipindi hcho kilikuwa ni kipindi cha zidumu fikra za mwenyekt.Nyerere alitawala awamu ngapi?
Suala sio kuamini au kasema naniRais Samia Suluhu Hassan amesema hii ni Serikali ya awamu ya 6 hivyo atakayeshindwa kasi yake ataachwa njiani.
Namshukuru sana Rais Samia kwa kuliweka sawa hili kwani jana watu wengi walinibishia nilipowaambia mimi naamini hii ni awamu ya 6.
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu uhalisia ndy upo hivyo rais hata akitawala miaka 15 hiyo itahesabika ni awamu moja..Awamu moja yenye miaka zaidi ya kumi bt kipindi hcho kilikuwa ni kipindi cha zidumu fikra za mwenyekt.
Kwa maelezo yako uhalali wa awamu ina miaka kumi una walakini boss.Awamu moja yenye miaka zaidi ya kumi bt kipindi hcho kilikuwa ni kipindi cha zidumu fikra za mwenyekt.
Nakubaliana kupingana na wewe...awamu ni term ya Uongozi..Yani ni nyakati kwa namna nyingine tunaweza kusema..Yaya nyakati hii BADO ni ya awamu ya tano yenye Serikali ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ..mwaka 2025 ikigombea akashinda anakuwa Rais wa 6 katika awamu ya Sita Kama atakuwa Rais Mwingine akishinda anakuwa Rais wa Saba katika awamu ya Sita..Angalia Marekani ndio utaelewa ..Awamu si miaka ni raisi/mtu/binadamu.
Angekuwa Rais wa tano katika awamu ya tano na sitaKwa maelezo yako uhalali wa awamu ina miaka kumi una walakini boss.
JPM angeongezewa miaka 5 angekuwa ametawala awamu ngapi?
Biden ni wa 48 katika awamu ya 47 mzee mbona mbinshi...wakati kila kitu kipo wazi aisee..awamu ya kiongozi ama rahisi..inaukamilifu wake kwa mujibu wa Kati a bila kuzingatia kifo chake ama mapinduzi...inamaana kwa ufahamu wako JPM angekufa mwaka jana ama juzi ama mwaka 2018 akaingia mama Samia ungesema ni awamu ya ngapi na hii ya mwaka huu uingiita awamu ya ngapi!?Hamna. Awamu inaendana na rais. Huyu ni rais wa 6, awamu ya 6. Biden rais wa 48 awamu ya 48. Haijalishi huyo rais kaptakana kwa kura au kwa kifo au kwa mapinduzi. Awamu mpya, rais mpya
Awamu inategemea kuapishwa kwa Rais mpya hivyo ndani ya miaka mitano kunaweza kukawa na awamu hata zaidi ya tano kutegemea wamehudumu Marais wangapi.Awamu moja ni miaka mitano, sasa yy atarun kwa miaka mitano?
Sawa mama Sasa kaa vizuri ,anza KWA makatibu wakuu wa wizara fanya Mambo kulingana na unyeti wa wizara, shuka KWA wakuu wa mikoa na wilaya Kuna vimeo vingi huko,Rais Samia Suluhu Hassan amesema hii ni Serikali ya awamu ya 6 hivyo atakayeshindwa kasi yake ataachwa njiani.
Namshukuru sana Rais Samia kwa kuliweka sawa hili kwani jana watu wengi walinibishia nilipowaambia mimi naamini hii ni awamu ya 6.
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Ilani haiwezi kuwa na awamu bali ni malengo ya chama cha siasa yanayotarajiwa kutekelezwa katika kipindi cha miaka mitano. Ndiyo sababu kipindi cha Kwanza cha Magufuli kilikuwa na ilani yake na kipindi hiki pia kina ilani yake.Angalau ametoa ule mkanganyiko, japo ni awamu ya sita lakini ilani inatumika ya awamu ya tano au anaandaa ya awamu yake, niweke sawa kidogo hapo chief.
Agano ni ilani ya mipango ya maendeleo ambayo CCM iliahidi kutekeleza ndani ya miaka mitano ambayo ilinadiwa na wote madiwani, wabunge na Rais.Lakini wateule wa rais wapo chini ya kiapo cha agano lililopita.
Kumaanisha hii ni awamu nyingine lazima kuwe na agano kati ya wateule na mteuaji. Agano halithibitiki bila kiapo!
Awamu ya sita. Raisi mpya,Awamu mpya. Siku Mpango akiwa Rais itakuwa awamu ya Saba.Rais Samia Suluhu Hassan amesema hii ni Serikali ya awamu ya 6 hivyo atakayeshindwa kasi yake ataachwa njiani.
Namshukuru sana Rais Samia kwa kuliweka sawa hili kwani jana watu wengi walinibishia nilipowaambia mimi naamini hii ni awamu ya 6.
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!