Rais Samia Suluhu Hassan kufanya ziara ya siku 3 Nchini Misri

Uko aendako aende na twiga wetu sio akodi ndenge za mashirika mengine kwenda huko aendako
 
TOKA MAKTABA :

14 October 2021



MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AITAKA TANESCO KUONGEZA NGUVU KATIKA UTEKELEZAJI.

13 Oct 2021
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ameitaka wizara ya Nishati kuchukua hatua za haraka kuhakikisha mradi wa kufua umeme katika Bwawa la Julius Nyerere unakamilika kwa wakati.

Makamu wa Rais ameyasema hayo wakati wa majumuisho ya ziara yake ya kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa kufua umeme katika Bwawa la Julius Nyerere ambapo amesema ni muhimu wizara ya Nishati kupitia shirika la umeme nchini (Tanesco) kuimarisha usimamizi, kuongeza wataalam sehemu zenye upungufu pamoja na kuongeza umeme utakaoendesha vema mitambo ya mkandarasi wakati huu wa ujenzi wa mradi

Source : TANESCO YETU
 
Wakati wa JK hapa JF palikuwa na thread ya safari zake naona ni wakati wa kuanzisha wa Mtemi Hangaya.
Kwa mwendo huu atavunja rekodi ya JK ila asisahau kufika Greenland kwa ndugu zetu Waesikimo tuone kama watatuuzia barafu
 
Mama ifungue nchi


Kwani ilifungwa ?

Aliifunga nani na lini?

Kwa hiyo mambo ya nchi yanafanyika kwa utashi binafsi wa mtu?

Kumbe Katiba ni kweli inapaswa kuandikwa upya kama hivyo.

Kila ajaye anafanya atakavyo?!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 10 Novemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Cairo nchini Misri kwa Ziara ya Kiserikali ya siku tatu...
Wqmfumdishe kuachana na u Dikteta
 
Lini atatatua tatizo la mfumuko wa bei vs kipato cha wananchi wake? Anyway safari njema kwake.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 10 Novemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Cairo nchini Misri kwa Ziara ya Kiserikali ya siku tatu...
Safi Sana Samia, Ngosha ameturudisha Sana nyuma kidiplomasi na kiuchumi,una kazi kubwa Mh. Rais kuweka Nchi kwenye mstari,

Tunajua misukule ya mwendazake inakuchukia,hila piga kazi tupo nyuma yako mama,

Kitu kimoja tu kinataka kukuharibia sifa yako nzuri, kumuweka ndani Mbowe, aachiwe kwa Nolle maisha yaende ,isikuchafulie kimataifa
 
Wwe mgeni nchini.diplomasia ilikufa awamu iliyopita


Chini ya uongozi wa chama gani ?

Kama ni kweli inamaana kuna tatizo kubwa sana mahali.

Kwa hiyo alipokuwepo kumbe walikuwa wanaona anakosea lakini walimwacha afanye atakavyo yeye?

Je angeendelea kuwepo hali ingekuwaje zaidi kama ni hivyo?

Kumbe mtu mmoja anaweza kufanya atakavyo bila kuonywa na mtu , watu au chombo chochote?!


Mbona watu walikuwa wanaonesha kumkubali sana na kumsifia kupita kiasi?

Je tuchukulie kuwa ni unafiki ulopitiliza au ujinga au ni nini?

Inashangaza sana kama ni hivyo.
 
Ccm.katiba ya kidikteta.Hairuhusu kumpinga kumkosoa anaekuweka mjini so unachagua utumie professional ufe njaa au utii maagizo njia ya chooni isiote nyasi
 
Tembea mama hata hivyo mwenye machungu na nchi alishakufa, et ushirikiano na misri wa nini ? Au wanaenda kukushawishi tusiendelee kutumia maji ya Victoria? HAYA malizia muda wako CCM wakikupitidha watakuwa WAPUMBAVU na wenyewe
 
Ccm.katiba ya kidikteta.Hairuhusu kumpinga kumkosoa anaekuweka mjini so unachagua utumie professional ufe njaa au utii maagizo njia ya chooni isiote nyasi
Mama yenu mpumbavu Sana alibadilishia Njiwa angani , huyu ni Zaid ya Vasco dagama wa Wa 2010
 
JPM tutamkumbuka , Hiki ni kizazi cha JK. Akirudi atakwenda Brunei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…