TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Mhe. Rais Samia na mwenyeji wake pia wanatarajiwa kushuhudia utiaji saini mkataba mmoja (]) na hati saba (7) za makubaliano kati ya Tanzania na Misri.
Ni jambo jema rais wetu kualikwa. Hata hivyo, tungependa kujua.
Mkataba unahusu nini? Vipi hizo hati?