Rais Samia Suluhu Hassan kufanya ziara ya siku 3 Nchini Misri

Rais Samia Suluhu Hassan kufanya ziara ya siku 3 Nchini Misri

Tuvute bangi kiasi au sio sehemu ya mambo yote?
maana kuacha kabisa napo si sawa.
Hizi assumption tuwe tunazipima kabla ya kuzicheua kama tulivyomezeshwa.

Wewe waandika,

Nilichoandika nimenukuu toka katika Maandiko Takatifu.

Kwa mtu aliyetimamu anajua kabisa kuwa kuna vitu ambavyo vimekatazwa kabisa kwenye maaandiko Matakatifu na hata kwenye sheria ya nchi yetu matharani hiyo bange ulotaja imekatazwa kabisa kutumika.

Kwa hiyo haina haja ya kuanza kuorodhosha exceptions hapa kwa level hii.

Yani ni sawa mfanyakazi anatakiwa kujua kuwahi kazini halafu ambiwe uwe unaoga na kupiga Mswaki asubuhi kabla ya kuja kazini.?!

Hiyo huwa inafundishwa kindergarten level.
 
Wewe waandika,

Nilichoandika nimenukuu toka katika Maandiko Takatifu.

Kwa mtu aliyetimamu anajua kabisa kuwa kuna vitu ambavyo vimekatazwa kabisa kwenye maaandiko Matakatifu na hata kwenye sheria ya nchi yetu matharani hiyo bange ulotaja imekatazwa kabisa kutumika.

Kwa hiyo haina haja ya kuanza kuorodhosha exceptions hapa kwa level hii.

Yani ni sawa mfanyakazi anatakiwa kujua kuwahi kazini halafu ambiwe uwe unaoga na kupiga Mswaki asubuhi kabla ya kuja kazini.?!

Hiyo huwa inafundishwa kindergarten level.
ushoga ambao umekubaliwa ulaya nao kiasi inaruhusiwa,
Maandiko matakatifu yaliyo asisiwa na wa catholic ndio reference ya good and right?
Kwa hiyo usingesoma biblia ungekuwa hujui jema na baya?
Wale wanao fanya jihad kwa kigezo cha imani nao wako sahihi kisa imani imesema.
Mchungaji ndio anafikri kwa ajiri yako na bible?
 
Toka maktaba: 09June 2021

President El-Sisi Makes Phone Call with Tanzania's President



Icon

Phone Calls 09 June 2021

Wednesday, 09 June 2021 / 06:25 PM

Phone Calls
Today, President Abdel Fattah El Sisi made a phone call with President of the United Republic of Tanzania Samia Hassan.
The Spokesman for the Egyptian Presidency said that President El-Sisi congratulated the Tanzanian President once again on assuming her new position, wishing her the very best and all the success in performing her duties.

The President also confirmed the special and historical Egyptian-Tanzanian relationship as well as the development in relations seen following His Excellency’s visit to Dar es Salaam in 2017.

The President affirmed Egypt’s keenness to hold talks and promote cooperation with the Tanzanian President with a view to strengthening already-robust relations in various fields in furtherance of the interests of the two brotherly peoples, especially with regard to boosting bilateral trade with Tanzania, encouraging infrastructure development, and providing technical support and capacity building.

For her part, the Tanzanian President expressed her great appreciation to the people and leadership of Egypt, noting that there are broad prospects for developing relations and promoting joint cooperation between Egypt and Tanzania. Tanzania’s President also commended Egypt’s support for the Tanzanian development efforts, especially through working on Tanzania’s Julius Nyerere Dam project (JNHPP Stiegler's Gorge).

Setting a model reflecting the deep, distinguished Egypt-Tanzania relationship, this JNHPP project is also one of the largest national projects in Tanzania.

The Spokesman added that the call discussed the developments of the Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) issue; the President stressed the need to reach a fair and legally binding agreement on the filling and operation of the dam. In this respect, it was agreed to support negotiations in order to achieve the interests of all three parties and ensure water security of the downstream countries
Source : President El-Sisi Makes Phone Call with Tanzania's President
 
Aongozane na wabunge Polepole na Bashiru na wao wakaone miji ya watu maana kwa miaka mitano walifungiwa ndani kama mabobi.

Kkkkkkkkkk
Yaani kama mimi ndio hao ningekata ticket mradi tu nisafiri
Kama ni hela mbona walikusanya sana au ni ushamba wanaogopa kupaa [emoji23]
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 10 Novemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Cairo nchini Misri kwa Ziara ya Kiserikali ya siku tatu.

Ziara hiyo ya Kiserikali ya siku tatu inafuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Abdel Fattah Al Sisi.

Katika ziara hiyo, Mhe. Rais Samia pamoja na mambo mengine anatarajiwa kufanya mazungumzo na mwenyeji wake katika maeneo kadhaa ya ushirikiano kati ya Tanzania na Misri ikiwemo nyanja za
diplomasia, uchumi, siasa, elimu, utalii na huduma za kijamii

Mhe. Rais Samia na mwenyeji wake pia wanatarajiwa kushuhudia utiaji saini mkataba mmoja (]) na hati saba (7) za makubaliano kati ya Tanzania na Misri.

View attachment 2004534

View attachment 2004542
This time around she should not go alone, she has to be accompanied with the Big Boyoo, our First Gentleman.
 
Misri iko mashariki ya kati.... Safari inayofuata bila shaka itakuwa huko Ghuba ya Oman. 🤔
 
halafu cha kushangaza wanaomchukia ni wale waliomponda jpm,,na kumpogeza ssh, pale tu alipoapishwa!!
Unajidanganya mimi ni shabiki kindaki ndaki wa Magufuli na ninamchukia haswa,yaani kiasi kwamba ningekuwa na mafunzo ya kijeshi ningejitoa mhanga😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom