Rais Samia Suluhu Hassan kufanya ziara ya siku 3 Nchini Misri

Rais Samia Suluhu Hassan kufanya ziara ya siku 3 Nchini Misri

Mimi huwa nawaita WAPUMBAVU tu. Huwa hawajui wanataka nini maishani. Alikuwepo JK anasafiri sana wakawa wanamuita Vasco Dagama, akaja JPM haendi popote wakadai anakaa sehemu moja nchi inakosa michongo. Kaja SSM safari za nje kibao wameanza kulialia. Ndo maana Mkapa aliwaita WAPUMBAVU NA MAKOFA. Na aliyewaita NYUMBU hakukosea.
Watu ni wanafiki sana....achana na watu wanafiki kupindukia
 
Rais Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 10 Novemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Cairo nchini Misri kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu.

Ziara hiyo ya Kiserikali ya siku tatu inafuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Abdel Fattah Al Sisi.

Katika ziara hiyo, Mhe. Rais Samia pamoja na mambo mengine anatarajiwa kufanya mazungumzo na mwenyeji wake katika maeneo kadhaa ya ushirikiano kati ya Tanzania na Misri ikiwemo nyanja za diplomasia, uchumi, siasa, elimu, utalii na huduma za kijamii.

Mhe. Rais Samia na mwenyeji wake pia wanatarajiwa kushuhudia utiaji saini mkataba mmoja (1) na hati saba (7) za makubaliano kati ya Tanzania na Misri.
 
Aongozane na wabunge Polepole na Bashiru na wao wakaone miji ya watu maana kwa miaka mitano walifungiwa ndani kama mabobi.
 
Mimi huwa nawaita WAPUMBAVU tu. Huwa hawajui wanataka nini maishani. Alikuwepo JK anasafiri sana wakawa wanamuita Vasco Dagama, akaja JPM haendi popote wakadai anakaa sehemu moja nchi inakosa michongo. Kaja SSM safari za nje kibao wameanza kulialia. Ndo maana Mkapa aliwaita WAPUMBAVU NA MAKOFA. Na aliyewaita NYUMBU hakukosea.
Na katika mambo yote yapasa kuwa na kiasi .

Anything in too much is harmful.

Kuacha kabisa kusafiri si sawa na kusafiri mara kwa mara kupita kiasi pia si sawa.

Kwa hiyo hao ambao huwaelewi huenda wako sahihi ktk kuhoji.

Tafakari
 
Na katika mambo yote yapasa kuwa na kiasi .

Anything in too much is harmful...
Tuvute bangi kiasi au sio sehemu ya mambo yote?
maana kuacha kabisa napo si sawa.
Hizi assumption tuwe tunazipima kabla ya kuzicheua kama tulivyomezeshwa.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 10 Novemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Cairo nchini Misri kwa Ziara ya Kiserikali ya siku tatu...
Asafiri akijua kuwa #Mbowesiogaidi
 
Back
Top Bottom