Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria Mkutano wa COP 26 Nchini Scotland

Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria Mkutano wa COP 26 Nchini Scotland

Wewe nguruwe Kama kufasiri ndio nchi kunufaika, safari 700 za kikwete Tanzania ingekua New York.

Huyo mungu atakaekua amemlaani magu atakua taahira kama wewe.
Magufuli alikuwa shetani, alikuwa anaharibu Nchi yetu. Ni bora Mungu alivyo mfurusha jehanam. Nchi ingeharibika kama Zimbabwe hii, najuwa wasio na kisomo hawaelewi principles za uchumi lakini huo ndiyo ukweli
 
Kama umekiri ile ilikuwa ni ajali sasa ni majanga
Tunatofautiana uelewa. Naweza nikawa nabishana na mtu ambaye hajasoma, nitakuwa nampigia mbuzi gitaa. Kwa misingi ya uchumi hatua anazochukua Samia ndiyo hasa zinazojenga uchumi ila wale wafaidika wa Mwendazake watabisha na wasio na kisomo
 
Nasikia Tanzania nyama kg moja Tsh 9,000 uko uliko vipi?
 
Magufuli alikuwa shetani, alikuwa anaharibu Nchi yetu. Ni bora Mungu alivyo mfurusha jehanam. Nchi ingeharibika kama Zimbabwe hii, najuwa wasio na kisomo hawaelewi principles za uchumi lakini huo ndiyo ukweli

B0059984-8C6D-4CF6-9435-372CE76C6332.jpeg
 
Magufuli alikuwa shetani, alikuwa anaharibu Nchi yetu. Ni bora Mungu alivyo mfurusha jehanam. Nchi ingeharibika kama Zimbabwe hii, najuwa wasio na kisomo hawaelewi principles za uchumi lakini huo ndiyo ukweli
Huyo Mungu atakua taahira kama wewe.

Kwa hiyo wewe ukifa ni Mungu amekufurusha? Wewe na huyo Mumgu wako hamna akili.
 
Hivi wewe bado una hizi hadithi zako uchwara? Kila siku ngonjera zile zile! Stupid! Huwezi kuwa na mawazo tofauti hivi huyo Lisu na hao waharifu wengine ndo binadamu kuzidi wengine? Best ukiwa mharifu kwenye nchi jeshi la polisi halitakuacha! Kuhusu kupandisha daraja wafanyakazi hili kwa wafanyakazi mazuzu kama wewe ndo lina tija, Huoni kuwa halina tija maana bidhaa ziko juu pamoja na tozo!
Ukiwa na akili inayofanana na mnyama huwezi kujua thamani ya uhai wa mwanadamu.
Kumbuka kumlea binadamu mpaka apate ufahamu inakugharimu miaka 18 na zaidi.
Hiyo iko tofauti na mbuzi, ng'ombe na wanyama wengine.
Watu waliostaraabika wamegawanya utendaji kati ya polisi, mahakama na magereza.
Mamlaka hizo za kidola zimewekwa kuwashughulikia wahalifu.
Ila kwa kuwa ustaraabu wako ni zero, ni rahisi kwako kuona kuwa polisi wanaweza kufanya kazi zote tatu.
Kupeleleza, kuhukumu na kutekeleza hukumu.

Ni mpuuzi tu asiyejua thamani ya uhai wa binadamu mwenzake, ndiye anayeweza kufanya tukio kama lile alilofanyiwa Tundu Lisu.

Kwa kifupi tangu imeingia serikali ya awamu ya sita hatujasikia matukio ya kutekana wala kuonekana maiti kwenye viroba, lakini serikali haijapungukiwa na chochote.

Jifunze kitu hapo
 
Nasikia Tanzania nyama kg moja Tsh 9,000 uko uliko vipi?
Umeweka matako sebuleni unaangalia TV ya Shemeji yako na kuandika kejeli kwenye mitandao, halafu unalalamika nyama bei ghali.

Toka nje kafanye kazi kijana uwe na mchango wako kwenye uchumi wa Taifa!!

Sasa Samia ndiyo unataka ateremshe bei ya nyama?
 
Huyo Mungu atakua taahira kama wewe.

Kwa hiyo wewe ukifa ni Mungu amekufurusha? Wewe na huyo Mumgu wako hamna akili.
Wewe ndiyo umekufuru kwa ulichoandika kuhusu Mungu. Nenda ukatubu, wala Mimi sirudii.

Kuhusu mimi nikifa siyo big deal. Sijaiba uchaguzi wote wa 2020 ili niwe Rais wa maisha, wala sijaingiza wabunge FEKI kunisaidia kupitisha mambo yangu Bungeni.

Kwa vitendo alivyofanya Magufuli alimuuzi Mungu. Hivi unaanzaje kumpiga Tundu Lissu risasi kisha unakataa kumtibu na kumnyang'anya ubunge kisa mnatifautiana kauli kuhusu mikataba ya madini? Magufuli alikuwa KICHAA

Mungu anakuachaje wakati unawatoa kazini watu wa vyeti FEKI na unamuacha Makonda mwenye cheti FEKI? Huku na wewe PhD yako ni ya PLAGIARISM. Una muua Ben Saanane kisa kakuuliza kuhusu uhalali wa andiko hilo.
 
Ninashukuru kwa mchango wako. Pengine kwa uchache tupatie makisio ya safari hiyo na uyapendekezee miradi wowote wa kimaendeleo tufanye cost benefit analysis tuone wapi exactly tupeleke hizo hela.
Hata hivyo,
Hatuwezi kuishi kama kisiwa jambo kubwa kuhusu hizi safari ninaamini zinatumika kutengeneza connection kukutana na mashirika makubwa ya kimataifa pamoja na kampuni kubwa kuzivutia kuwekeza nchini na vitu vingine. Sahau kuhusu Obama kuja Tz au Rais wa China. Ni wazi walipokuja walikuja kwa interest zao na za nchi zao.
 
Ni vizuri maviatu ya Magufuli hayajamtosha. Maviatu yananuka damu za akina Ben Saanane, Azory Gwanda, Tundu Lissu. Maviatu ya mtu MWONGO, mwizi, mropokaji na kichaa, nani anayataka?

Samia atavaa viatu vyake tu
Nitafurahi Mama akirudi na msaada wa TImu ya wabobezi wa uchunguzi wale wa SCOTLAND YARD waje na mpango wa Kufanya uchunguzi wa CRIME OF POMBE'S 26 (COP26) waje wafurumue lile kaburi chato na wapitie kanzidata pale Lumumba wasake warundi wote kwenye nafasi za Uteuzi KUanzia 2015 na waliojichagulisha 2020 mpaka march 18 ,2021.
 
Acha kudanganya watu...pesa IMF has nothing to do na safari za mama UN..mchakato wa hizo pesa ulianza kabla ht ya safari ya UN na hauna uhusiano na UN.
Gobole siyo mtu makini. Moja ya sharti ya ku qualify kwa ule mkopo ilikuwa ni kuwa wawazi kwenye takwimu za COVID 19. Wakati wa Mwendazake tulikuwa kwenye state of denial na tulikuwa hatutoi TAKWIMU sasa unaponiambia eti mchakato wa mkopo ulianza kabla ya Rais Samia nakuona wewe MWONGO
 
Hizi safari manufaa yake ni yapi kwa kwa kina mama walipo kule namtumbo bila maji??
Hiyo pesa ya safari inatosha kujenga na kukamilisha mradi wa maji kwenye mji wa Namtumbo, tena na nyingine zinabaki za kujenga kituo cha afya na kuiondoa Namtumbo kwenye orodha ya kero za huduma za jamii.
 
Gobole siyo mtu makini. Moja ya sharti ya ku qualify kwa ule mkopo ilikuwa ni kuwa wawazi kwenye takwimu za COVID 19. Wakati wa Mwendazake tulikuwa kwenye state of denial na tulikuwa hatutoi TAKWIMU sasa unaponiambia eti mchakato wa mkopo ulianza kabla ya Rais Samia nakuona wewe MWONGO
Acha kukurupuka, kuna sehemu nimesema mchakato wa pesa za IMF umeanza enzi za mwendazake?au nimesema mchakato wa pesa za IMF umeanza kabla ya bi mkubwa kwenda UN?

My task to u fuatilia ujue mchakato umeanza lini na vigezo vyake ni vp, na km kuna uhusiano na mama kwenda UN... and muwe mnasoma kuelewa sio mnasoma kujibu, just to show off kua mnajua zaidi na wenzenu hawjui.

Too bad siasa na chuki zenu kwa JPM zimewafumba macho to the point ht nyeusi mnaona ni nyeupe, ht ambako hausiki lazima mumuhusishe ilimradi roho zenu zipate faraja..The guy is gone, get over with it.
 
Back
Top Bottom