Magufuli alikuwa shetani, alikuwa anaharibu Nchi yetu. Ni bora Mungu alivyo mfurusha jehanam. Nchi ingeharibika kama Zimbabwe hii, najuwa wasio na kisomo hawaelewi principles za uchumi lakini huo ndiyo ukweliWewe nguruwe Kama kufasiri ndio nchi kunufaika, safari 700 za kikwete Tanzania ingekua New York.
Huyo mungu atakaekua amemlaani magu atakua taahira kama wewe.
Tunatofautiana uelewa. Naweza nikawa nabishana na mtu ambaye hajasoma, nitakuwa nampigia mbuzi gitaa. Kwa misingi ya uchumi hatua anazochukua Samia ndiyo hasa zinazojenga uchumi ila wale wafaidika wa Mwendazake watabisha na wasio na kisomoKama umekiri ile ilikuwa ni ajali sasa ni majanga
Nasikia Tanzania nyama kg moja Tsh 9,000 uko uliko vipi?Tunatofautiana uelewa. Naweza nikawa nabishana na mtu ambaye hajasoma, nitakuwa nampigia mbuzi gitaa. Kwa misingi ya uchumi hatua anazochukua Samia ndiyo hasa zinazojenga uchumi ila wale wafaidika wa Mwendazake watabisha na wasio na kisomo
Magufuli alikuwa shetani, alikuwa anaharibu Nchi yetu. Ni bora Mungu alivyo mfurusha jehanam. Nchi ingeharibika kama Zimbabwe hii, najuwa wasio na kisomo hawaelewi principles za uchumi lakini huo ndiyo ukweli
😂😂😂Haki ya nani airbus za mwendazake zitajuta kumfahamu!
JK wa pili
Safari haziishiJK wa pili
Huyo Mungu atakua taahira kama wewe.Magufuli alikuwa shetani, alikuwa anaharibu Nchi yetu. Ni bora Mungu alivyo mfurusha jehanam. Nchi ingeharibika kama Zimbabwe hii, najuwa wasio na kisomo hawaelewi principles za uchumi lakini huo ndiyo ukweli
Ukiwa na akili inayofanana na mnyama huwezi kujua thamani ya uhai wa mwanadamu.Hivi wewe bado una hizi hadithi zako uchwara? Kila siku ngonjera zile zile! Stupid! Huwezi kuwa na mawazo tofauti hivi huyo Lisu na hao waharifu wengine ndo binadamu kuzidi wengine? Best ukiwa mharifu kwenye nchi jeshi la polisi halitakuacha! Kuhusu kupandisha daraja wafanyakazi hili kwa wafanyakazi mazuzu kama wewe ndo lina tija, Huoni kuwa halina tija maana bidhaa ziko juu pamoja na tozo!
Umeweka matako sebuleni unaangalia TV ya Shemeji yako na kuandika kejeli kwenye mitandao, halafu unalalamika nyama bei ghali.Nasikia Tanzania nyama kg moja Tsh 9,000 uko uliko vipi?
Ni vizuri maviatu ya Magufuli hayajamtosha. Maviatu yananuka damu za akina Ben Saanane, Azory Gwanda, Tundu Lissu. Maviatu ya mtu MWONGO, mwizi, mropokaji na kichaa, nani anayataka?
Wewe ndiyo umekufuru kwa ulichoandika kuhusu Mungu. Nenda ukatubu, wala Mimi sirudii.Huyo Mungu atakua taahira kama wewe.
Kwa hiyo wewe ukifa ni Mungu amekufurusha? Wewe na huyo Mumgu wako hamna akili.
Ulisoma comment yangu kwa ajili ya kujibu sio kuelewa.Safari moja tu ya UN imeleta pesa zinagawiwa kwenye kila mkoa pengine hii ya sasa na yenyewe itakuja na pesa nyingine nyingi. Punguza kuwa inferior kila unapomuongelea rais wa awamu ya sita.
Nitafurahi Mama akirudi na msaada wa TImu ya wabobezi wa uchunguzi wale wa SCOTLAND YARD waje na mpango wa Kufanya uchunguzi wa CRIME OF POMBE'S 26 (COP26) waje wafurumue lile kaburi chato na wapitie kanzidata pale Lumumba wasake warundi wote kwenye nafasi za Uteuzi KUanzia 2015 na waliojichagulisha 2020 mpaka march 18 ,2021.Ni vizuri maviatu ya Magufuli hayajamtosha. Maviatu yananuka damu za akina Ben Saanane, Azory Gwanda, Tundu Lissu. Maviatu ya mtu MWONGO, mwizi, mropokaji na kichaa, nani anayataka?
Samia atavaa viatu vyake tu
Gobole siyo mtu makini. Moja ya sharti ya ku qualify kwa ule mkopo ilikuwa ni kuwa wawazi kwenye takwimu za COVID 19. Wakati wa Mwendazake tulikuwa kwenye state of denial na tulikuwa hatutoi TAKWIMU sasa unaponiambia eti mchakato wa mkopo ulianza kabla ya Rais Samia nakuona wewe MWONGOAcha kudanganya watu...pesa IMF has nothing to do na safari za mama UN..mchakato wa hizo pesa ulianza kabla ht ya safari ya UN na hauna uhusiano na UN.
Hiyo pesa ya safari inatosha kujenga na kukamilisha mradi wa maji kwenye mji wa Namtumbo, tena na nyingine zinabaki za kujenga kituo cha afya na kuiondoa Namtumbo kwenye orodha ya kero za huduma za jamii.Hizi safari manufaa yake ni yapi kwa kwa kina mama walipo kule namtumbo bila maji??
Kama siyo mpambe anaenda kufanya nini sasa?mpambe[emoji848]
Acha kukurupuka, kuna sehemu nimesema mchakato wa pesa za IMF umeanza enzi za mwendazake?au nimesema mchakato wa pesa za IMF umeanza kabla ya bi mkubwa kwenda UN?Gobole siyo mtu makini. Moja ya sharti ya ku qualify kwa ule mkopo ilikuwa ni kuwa wawazi kwenye takwimu za COVID 19. Wakati wa Mwendazake tulikuwa kwenye state of denial na tulikuwa hatutoi TAKWIMU sasa unaponiambia eti mchakato wa mkopo ulianza kabla ya Rais Samia nakuona wewe MWONGO
Anaitwa " first gentleman",anatumia kodi zetu.Wewe ni mjinga, Mume wa Samia anakuhusu nini kwenye maisha yako binafsi?