Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hotuba zake hazina mvuto hata kidogo
Hizi mambo aliweza JKHahahaha utadhani tupo kwenye mkutano wa Viccoba
Walinda legacy ya udikteta uchwara mkafilie mbali.Akitaka hotuna yake iwe na maana kwa watanzania aguse mambo ya msingi
Na Mkapa piaHizi mambo aliweza JK
...hata kuwa na jipya zaidi yakusema yeye ni Rais mwanamkeHaya leo baada ya hotuba nzito na makini kutoka kwa Genius Tundu Lissu hatimaye tutakua na kipoozeo kutoka kwa mtukufu rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Naamini itakua hotuba ya kufukia mashimo baada ya ile ya mheshimiwa wa ubeleji.
Stay tuned.View attachment 2063552
Hotuba za Mkapa ndio zilikuwa mwakeHizi mambo aliweza JK
Huyo atakwambia yeye ni Rais mwanamke full stop....ukiwa na shughuli zako fanya don't waste your timeHaya mambo aliweza JK maana alikuwa ana-address matatizo ya wananchi
ThubutuuAkitaka hotuna yake iwe na maana kwa watanzania aguse mambo ya msingi yanayolihusu taifa kwa sasa.
1. Katiba Mpya.
2. Uhuru wa vyombo vya habari.
3. Kubambikia wapinzani kesi za uongo.
4. Ajira.
Mambo mengine kama;
- SGR
- Ujenzi wa vyumba vya madarasa.
- Vituo vya afya na barabara nayo ni muhimu lakini tumeshazoea kuyasikia.
Hivi nyie mnaolalamikia Uhuru wa vyombo vya habari huwa siwaelewi.vyombo gani vimenyimwa Uhuru acheni upotoshaji nchi yetu sote mbona habari zipo na watu wa habari wanafanya kazi...kwenye KATIBA KWELI TUNAHITAJI KATIBA MPYAAkitaka hotuna yake iwe na maana kwa watanzania aguse mambo ya msingi yanayolihusu taifa kwa sasa.
1. Katiba Mpya.
2. Uhuru wa vyombo vya habari.
3. Kubambikia wapinzani kesi za uongo.
4. Ajira.
Mambo mengine kama;
- SGR
- Ujenzi wa vyumba vya madarasa.
- Vituo vya afya na barabara nayo ni muhimu lakini tumeshazoea kuyasikia.
Hapo nilikuwa bado sijawa na uelewa wa kutosha 2010-2015 nilikuwa mtu mzimaHotuba za Mkapa ndio zilikuwa mwake
OkeyNa Mkapa pia
Ha ha ha ha Ila wadanganyika wako na matumaini makubwa kwa watawala wao kuliko uhalisiaKuna mambo muhimu ya kuyazungumzia na kuyatolea maamuzi.
1. Kuondolewa isivyo halali kwa wafanyabiashara wadogo.
2. Kupanda kusikohalali kwa bei za bidhaa na huduma.
3. Kukatika hovyo kwa umeme na kukosekana kwa maji.
4. Ajira hakuna.
5. Hali ya uchumi ni mbovu fedha hakuna kwenye mzunguko.
6. Mikopo isiyokuwa na ulazima kuchukuliwa.
__________________
Serikali inapaswa kupunguza deni la ndani ili walau fedha ionekane na ipunguze kushindana na wananchi kukopa fedha za ndani.