Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia taifa leo Desemba 31, 2021

Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia taifa leo Desemba 31, 2021

Si juzi tuu hapa Alitoka Kulihutubia Taifa na Akaongea Alichoongea.! Leo Tena? Anataka Kutu wish Heri ya Mwaka Mpya? Au Umeshakuwa Utaratibu wa Kutusimlia Mambo Yao kila Mwisho wa Mwezi?

Kwanza Nitakuwa Kanisani Kwenye Mkesha wa Mwaka Mpya, Saa Tatu Ibada ndio inaanza
 
Kuna mambo muhimu ya kuyazungumzia na kuyatolea maamuzi.

1. Kuondolewa isivyo halali kwa wafanyabiashara wadogo.

2. Kupanda kusikohalali kwa bei za bidhaa na huduma.

3. Kukatika hovyo kwa umeme na kukosekana kwa maji.

4. Ajira hakuna.

5. Hali ya uchumi ni mbovu fedha hakuna kwenye mzunguko.

6. Mikopo isiyokuwa na ulazima kuchukuliwa.

__________________

Serikali inapaswa kupunguza deni la ndani ili walau fedha ionekane na ipunguze kushindana na wananchi kukopa fedha za ndani.
Katika mambo yote uliyaandika hapo ya msingi ni la 2 na la 3 pekee hayo mengine yanayo baki hayana msingi wowote kuyaongelea .
 
Si juzi tuu hapa Alitoka Kulihutubia Taifa na Akaongea Alichoongea.! Leo Tena? Anataka Kutu wish Heri ya Mwaka Mpya? Au Umeshakuwa Utaratibu wa Kutusimlia Mambo Yao kila Mwisho wa Mwezi?

Kwanza Nitakuwa Kanisani Kwenye Mkesha wa Mwaka Mpya, Saa Tatu Ibada ndio inaanza
Good kuliko kupoteza muda kwenye maigizo
 
Haya leo baada ya hotuba nzito na makini kutoka kwa Genius Tundu Lissu hatimaye tutakua na kipoozeo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Naamini itakua hotuba ya kufukia mashimo baada ya ile ya mheshimiwa wa ubelgiji.

Stay tuned.

View attachment 2063552
Hamna jipya hapa. Ni kulalamika tuu kwamba yeye ni wa kike
 
Haya leo baada ya hotuba nzito na makini kutoka kwa Genius Tundu Lissu hatimaye tutakua na kipoozeo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Naamini itakua hotuba ya kufukia mashimo baada ya ile ya mheshimiwa wa ubelgiji.

Stay tuned.

View attachment 2063552
Utasikia Chanjo, kujisifia kujenga madarasa, Raisi mwanamke, Basi mwisho wa hotuba,,,binafsi nshaweka GB za kumsikiliza Lissu
 
Kwakweli Mhe. Rais Wetu Mama....watanzania wanamshukuru kwa ujenzi wa vyumba vya kisasa vya madarasa nchi nzima.......haijawahi kutokea kuwa na mdarasa ya kisasa kama haya nchi nzima.
Mungu azidi kumlinda Rais wetu.
Jitihada zake za kuwaletea maendeleo zinaonekana.
maendeleo hayana chama
 
Haya leo baada ya hotuba nzito na makini kutoka kwa Genius Tundu Lissu hatimaye tutakua na kipoozeo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Naamini itakua hotuba ya kufukia mashimo baada ya ile ya mheshimiwa wa ubelgiji.

Stay tuned.

View attachment 2063552
for whatever she will talk, nategemea na ntafurahi kusikia mikakati ya kukabiliana mabadiliko ya hali ya hewa yaliyo athiri uzalishaji 2021.
 
Thamani ya kodi zetu tunaziona.....maendeleo ya ujenzi wa barabara za TARURA kila kona tunaziona.
 
Back
Top Bottom