Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia taifa leo Desemba 31, 2021

Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia taifa leo Desemba 31, 2021

Binafsi masuala ya Uviko na chanjo nisingependa kuyasikia kabisa sababu hayako applicable na hali zetu za kutafuta riziki. Au masuala ya ujenzi wa madarasa sijui nadhani ingeoendeza tusikia recruitment na development training kwa walimu wa sayansi.
 
MH MKAPA likuwa Rais bwana acha tu.... nadhani angeongoza 20 years Tanzania ingekuwa bora sana.

Binafsi namuonaga he was the most genius President ever happen in Tanzania.
Hakika....
 
Mbona hotuba kila siku, viatu vyazidi kuongezeka namba ama?
 
Wewe ndio muoga, Lissu alichofanyiwa ingekuwa Ni wewe ungefanyaje?. Umepigwa risasi , ukafukuzwa ubunge na bado ukaibiwa kura. Saa zingine kabla ya kusema Jambo tufikiri Kwanza. Kina mtu alimiattack Magufuri face to face Kama Lissu?. Unaona kilichomtokea mbowe mpaka kapewa ugaidi na hali ilivyo mpango Ni kumfunga moja kwa moja gerzani.
hapo ndipo unashindwa kuwaelewa watz.

Ndio maana wengi wanaendelea kuamini eti pesa zinatolewa na diwani, mbunge, dc, rc, wazir, rais kana kwamba hwalipi kodi. Hadi shule zingine zinaandikwa vibao kabisa eti 'imejengwa kwa hisani ya serikali' na wapo wanapiga makofi
 
Nimefungua uchumi,
Nimejenga madarasa,
Ndege nyingine zinakuja..
Kuna pesa nimeipata PAHALA
Tutajenga madarasa kila kata
 
Hivi nyie mnaolalamikia Uhuru wa vyombo vya habari huwa siwaelewi.vyombo gani vimenyimwa Uhuru acheni upotoshaji nchi yetu sote mbona habari zipo na watu wa habari wanafanya kazi...kwenye KATIBA KWELI TUNAHITAJI KATIBA MPYA

Magazeti yasiyoisujudia serikali mpaka sasa bado yamefungiwa.
 
IMG_20211231_160549.jpg
 
Mh. Rais usipozungumzia suala la inflation kwenye hotuba yako, bora usihutubie kabisa
 
Spika wa bunge anaweza kulihutubia taifa pia, Marekani spika wa bunge huwa anahutubia taifa na kujibu maswali ya wanahabari.
 
Safi Sana,ngoja nijiandae kuwa karibu na TV yangu ,hapa ndo penyewe palipo ungua shoka mpini ukabaki,pamoja Sana rais wangu.

Wale wa kitongoji Cha pinga pinga ,yule Mrs Robert Amsterdam amesemaje kwenye hotuba yake au hajahutubia?
 
Back
Top Bottom