ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Katika mambo yote uliyaandika hapo ya msingi ni la 2 na la 3 pekee hayo mengine yanayo baki hayana msingi wowote kuyaongelea .Kuna mambo muhimu ya kuyazungumzia na kuyatolea maamuzi.
1. Kuondolewa isivyo halali kwa wafanyabiashara wadogo.
2. Kupanda kusikohalali kwa bei za bidhaa na huduma.
3. Kukatika hovyo kwa umeme na kukosekana kwa maji.
4. Ajira hakuna.
5. Hali ya uchumi ni mbovu fedha hakuna kwenye mzunguko.
6. Mikopo isiyokuwa na ulazima kuchukuliwa.
__________________
Serikali inapaswa kupunguza deni la ndani ili walau fedha ionekane na ipunguze kushindana na wananchi kukopa fedha za ndani.
Kuna mpira wa Yanga na Dom nitakuwa busy na huoHuyo atakwambia yeye ni Rais mwanamke full stop....ukiwa na shughuli zako fanya don't waste your time
Kwani huyo mke wa Amsterdam amesemaje huko TwitterHaya leo baada ya hotuba nzito na makini kutoka kwa Genius Tundu Lissu hatimaye tutakua na kipoozeo kutoka kwa mtukufu rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Naamini itakua hotuba ya kufukia mashimo baada ya ile ya mheshimiwa wa ubeleji.
Stay tuned.View attachment 2063552
Good kuliko kupoteza muda kwenye maigizoSi juzi tuu hapa Alitoka Kulihutubia Taifa na Akaongea Alichoongea.! Leo Tena? Anataka Kutu wish Heri ya Mwaka Mpya? Au Umeshakuwa Utaratibu wa Kutusimlia Mambo Yao kila Mwisho wa Mwezi?
Kwanza Nitakuwa Kanisani Kwenye Mkesha wa Mwaka Mpya, Saa Tatu Ibada ndio inaanza
Basi hili lipe nafasi huko kwa chifu utakuja kujutia muda wakoKuna mpira wa Yanga na Dom nitakuwa busy na huo
ExactlyBasi hili lipe nafasi huko kwa chifu utakuja kujutia muda wako
Hamna jipya hapa. Ni kulalamika tuu kwamba yeye ni wa kikeHaya leo baada ya hotuba nzito na makini kutoka kwa Genius Tundu Lissu hatimaye tutakua na kipoozeo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Naamini itakua hotuba ya kufukia mashimo baada ya ile ya mheshimiwa wa ubelgiji.
Stay tuned.
View attachment 2063552
Ukisogezwa mbele utafanyaje? Au umesahau!Kuna mpira wa Yanga na Dom nitakuwa busy na huo
Utasikia Chanjo, kujisifia kujenga madarasa, Raisi mwanamke, Basi mwisho wa hotuba,,,binafsi nshaweka GB za kumsikiliza LissuHaya leo baada ya hotuba nzito na makini kutoka kwa Genius Tundu Lissu hatimaye tutakua na kipoozeo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Naamini itakua hotuba ya kufukia mashimo baada ya ile ya mheshimiwa wa ubelgiji.
Stay tuned.
View attachment 2063552
Kiongozi muoga hatufai!Atakuwepo twitter space
for whatever she will talk, nategemea na ntafurahi kusikia mikakati ya kukabiliana mabadiliko ya hali ya hewa yaliyo athiri uzalishaji 2021.Haya leo baada ya hotuba nzito na makini kutoka kwa Genius Tundu Lissu hatimaye tutakua na kipoozeo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Naamini itakua hotuba ya kufukia mashimo baada ya ile ya mheshimiwa wa ubelgiji.
Stay tuned.
View attachment 2063552
Za dikteta msukuma mwenzenu hotuba zake zilijaa matusi,kejeli na pumba tupu, kichwani alikuwa mweupeHotuba zake hazina mvuto hata kidogo