Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
hapo ndipo unashindwa kuwaelewa watz.Wewe ndio muoga, Lissu alichofanyiwa ingekuwa Ni wewe ungefanyaje?. Umepigwa risasi , ukafukuzwa ubunge na bado ukaibiwa kura. Saa zingine kabla ya kusema Jambo tufikiri Kwanza. Kina mtu alimiattack Magufuri face to face Kama Lissu?. Unaona kilichomtokea mbowe mpaka kapewa ugaidi na hali ilivyo mpango Ni kumfunga moja kwa moja gerzani.
Hivi nyie mnaolalamikia Uhuru wa vyombo vya habari huwa siwaelewi.vyombo gani vimenyimwa Uhuru acheni upotoshaji nchi yetu sote mbona habari zipo na watu wa habari wanafanya kazi...kwenye KATIBA KWELI TUNAHITAJI KATIBA MPYA
Mnyika: JK ni rais dhaifu sanaHaya mambo aliweza JK maana alikuwa ana-address matatizo ya wananchi
Kwani JK alikuwa ni malaika?Mnyika: JK ni rais dhaifu sana